Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga.
 
Sugu anayo attention toka yupo kijana, The guy need no attention, ungejua Historia yake usingeandika hiki ulichoandika hapa
alafu huyo ni mtu mzima usimfananishe na kina rayvan nk, sababu ya yeye kuyasema hayo ni 1.yeye ni mwana harakati
2.yeye ni mfanyabiashara
hivo basi nafasi zake hizo mbili katika jamii zinampa uhuru wa kuongea, ni kama wewe hapa JF huzuiliwi ku comment kwa sababu wewe ni Member hivo ni haki yako, the same to Sugu ni mtanzania na katiba inampa uhuru wa kueleza chochote kila ile mradi havunji sheria za nchi
Sawa mkuu nimekuelewa.. Natengua kauli.
 
View attachment 1753657

Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.

Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo Zambia, Malawi na South Africa, hata hivyo ameahirisha mpango huo baada ya kusikia maneno kutoka kwa Rais mpya aliyesisitiza wawekezaji kutendewa haki .

Sasa tuendelee kusikilizia kama yanayosemwa na Mh Rais ndio yatakayojiri.
Ahamishe biashara gani alizonazo? Majengo ya desderia yanahamishika? Crd wenyewe bado wanaye
 
Kuna wenye weledi wa Mwekezaji anayetumia jina la MERU na mwingine USANGU je hawa ni watanzania?maana wanayoyafanya hapo zambia,Botswana na SA yanatisha.
Walikuwa hapahapa lakini unyama uliwashinda
 
Desderia hotel hongereni!

Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Uzuri upatikanaji wa ukwasi wao ni justifiable,
Ukwasi wa matajiri wa CCM ni ngumu ku-justify na ukithubutu kiakukuta kitu.

CCM, Ndumba ni mabingwa wizi ni mabingwa.
 
Mi sio hater wakuu wala sio ccm nilikuwa nauliza huyu jamaa anamiliki biashara gani ukiondoa ile hoteli ?
ni Transporter wa Siku nyingi kabla ya ubunge ana malori kadhaa ya kubeba mizigo , pia anamiliki hela taslim za kutosha.
 
Back
Top Bottom