NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mzee kameza matukio yote,anakumbuka tarehe,muda,majina mpaka rangi za nguo.sema mzee anakodi za kipelelezi sana....[emoji109][emoji109][emoji109]
Ungemalizia na,ni kama Maccm tu.
Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.hivi huyu KAMISHINA MKUU ndiye yule aliyejikomba kwa vyombo vya habari kukataa rushwa ya Milioni 10?
UKIWA MNAFIKI MUNGU ANAKUUMBUA
KAMISHNA MKUU na naibu wako mlaaniwe na kizazi chenu kwa dhuluma mnayoifanya
Kwani kikomo cha kudai kipo! TRA- lipa kodi kwa maendeleo.Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
Huyu jamaa maelezo yako hayabadiriki. Hapa ndipo utajua anaongea ukweli. Kuna siku haki itapatikana.
The only way to balance this story ni TRA sasa waseme upande wao!
Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
Ukristu wangu ni huruma kwa mzee huyu Ramadhani alichotendewa ni unyama na mimi nilifanyiwa hvyo hvyo nikamwachia MunguWewe kuwa mkristo kunahusiana vipi na habari uliyoleta? Tupunguze udini.
Yaani ukishadhulumiwa na system ni ngumu sana kupata haki yako, cha msingi asichokd tu kufuatilia.
Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.
Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
Bilion sio trillion. Sio hela nyingi kwa mzigo wa watu wa KariakooTatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
900m inakaribia billion sio trillion ambayo wewe unaita tilion. Kwa mzigo ulioko store sio ajabu.Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.
Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
Safari hii naona nikujibu ukiraza wako .900 milioni ni sawa na tilioni!!?
Wewe hata ujirudi shule,hakuna kitakachobadilika,hicho kichwa hakina ubongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA,TBS,TFDA,bandari hawa wanaumiza sana watu. Mwaka jana wameniumiza sana kichwa kwa vitu vya kubambika. Halafu ni vijana wadogo tuko nao humu jf,tunaishi nao mitaani,tunakunywa na kucheka nao bar ila ni wauaji kabisa.Sitaki kukumbuka machungu ya TRA since 2014 todate
Jr[emoji769]
Buku saba ktk ubora wao900 milioni = 1 tilioni kwelii!!??
900,000,000 = 1,000,000,000,000!!!!?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiuharibu uzi wa mzee aliyezulumiwaWewe neno ujirudi ndio nini ulichoandika! Unashinda kukosoa utadhani lifarisayo kipindi cha yesu.
Jitahidi kusona kwakutafta hoja , usipoona ipite nyuzi!
Nyie manywa viroba nasimu zenu za kununuliwa + bando zakupewa mnashida.