Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

hivi huyu KAMISHINA MKUU ndiye yule aliyejikomba kwa vyombo vya habari kukataa rushwa ya Milioni 10?
UKIWA MNAFIKI MUNGU ANAKUUMBUA
KAMISHNA MKUU na naibu wako mlaaniwe na kizazi chenu kwa dhuluma mnayoifanya
Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
 
Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.

Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
 
Wewe kuwa mkristo kunahusiana vipi na habari uliyoleta? Tupunguze udini.

Yaani ukishadhulumiwa na system ni ngumu sana kupata haki yako, cha msingi asichokd tu kufuatilia.
 
The only way to balance this story ni TRA sasa waseme upande wao!

Waseme nini sasa?
Wakati jamaa ana empirical evidence za hao hao TRA, nakubali kutokukubaliana kua mtazamo wako ni “process oriented” na tutaendelea na hekaya za abunuasi!
 
Wewe kuwa mkristo kunahusiana vipi na habari uliyoleta? Tupunguze udini.

Yaani ukishadhulumiwa na system ni ngumu sana kupata haki yako, cha msingi asichokd tu kufuatilia.
Ukristu wangu ni huruma kwa mzee huyu Ramadhani alichotendewa ni unyama na mimi nilifanyiwa hvyo hvyo nikamwachia Mungu
 
900 milioni = 1 tilioni kwelii!!??
900,000,000 = 1,000,000,000,000!!!!?????
Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.

Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
900m inakaribia billion sio trillion ambayo wewe unaita tilion. Kwa mzigo ulioko store sio ajabu.
 
900 milioni ni sawa na tilioni!!?
Wewe hata ujirudi shule,hakuna kitakachobadilika,hicho kichwa hakina ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii naona nikujibu ukiraza wako .
Ndio maana nimeiandika na 900ml. Nanikasema nisawa !
Wewe unaonekana umekaririshwa darasa ! Hasa la nne kwenda la tano!

Nyie ndio mkiambiwa peoplessss mnaitikia kwa nguvu powerrrrr
mkinyoshewa vidole viwili juu na nyie tayari mmenyoosha!

mkiambiwa kuandamana kesho! Mnawahi asubuhi sana bila kujiuliza hawa wanaotuambia kuandamana je wamekuja na watoto wao? Au ndugu zao?
yani nyie nikama condomm .....utakuwa unajua matumizi yke au toilet paper!
toilet paper kama haijatumika unaweka hata ndani ya bag!
ila ikitumika ..... nadhani unajua kinachofuata.
ndiyo wewe.
siongei na condomm au toilet paper acha kusoma michango yangu! Km umetumwa waambie waongeze dot. Wanazoweka kwenye nyuzi na michango yangu au wanifungie msaidie na bando zangu.
 
Story ya huyu bwana inasikitisha sana naamin M/Mungu anampigania maana mpaka kufikia hapo sio mchezo
 
Sitaki kukumbuka machungu ya TRA since 2014 todate

Jr[emoji769]
TRA,TBS,TFDA,bandari hawa wanaumiza sana watu. Mwaka jana wameniumiza sana kichwa kwa vitu vya kubambika. Halafu ni vijana wadogo tuko nao humu jf,tunaishi nao mitaani,tunakunywa na kucheka nao bar ila ni wauaji kabisa.

Unamwangalia kijana mdogo analazimisha mazingira apate rushwa bila kujali madhara anayomsababishia mtu mwingine na familia yake. Yote hii ili wajenge ghorofa goba na kununua kluger au vanguard.
 
Wewe neno ujirudi ndio nini ulichoandika! Unashinda kukosoa utadhani lifarisayo kipindi cha yesu.

Jitahidi kusona kwakutafta hoja , usipoona ipite nyuzi!
Nyie manywa viroba nasimu zenu za kununuliwa + bando zakupewa mnashida.
 
Usiuharibu uzi wa mzee aliyezulumiwa
 
Back
Top Bottom