Wewe neno ujirudi ndio nini ulichoandika! Unashinda kukosoa utadhani lifarisayo kipindi cha yesu.
Jitahidi kusona kwakutafta hoja , usipoona ipite nyuzi!
Nyie manywa viroba nasimu zenu za kununuliwa + bando zakupewa mnashida.
Yaani huyu Muhutu wanamuonea sana.maafisa wa tra zaidi ya kumi wanapelekeshwa puta na darasa la saba aliefeli mwaka 87!!
Mpaka hapa bwana ramadhani kajitahidi sana kuwa mvumilivu lkn baadhi ya maofisa wa tra wanataka kubeba makosa ya wengine ili kumaliza msala,itakula kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda kaumiza watu wengiHapa ndipo utakapojua kuwa maamuzi mengi ya kwenye Media hayatekelezwi...... Hivi TRA wanapata wapi Ujasiri wakukiuka maagizo ya Raisi??
Kwanini Makonda hakutoa Ushirikiano kwq Bw. Ramadhani???
Je inawezekana Makonda ana uhusiano na hao Wafanyabiashara???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpwaa nimevaa mask na tembeaa na sanitaiza no relax wapi.mpwarelax bro, naona kama umeandika vitu vingi ambavyo ni kama vizuri but hujaweka vizuri watu wakaelewa!
kwa mtu ambaye hajenda kwa Ayo, sio rahisi kuelewa ulichoandika
Mimi mtu mogo sana, Wanahabari ndio kazi yao watupe mrejesho.Nenda kawaulize TRA
Ramadhani Hamis.Ni nani huyu!??
Alikuwa na ishu gani??Ramadhani Hamis.
Wa wapi?Ramadhani Hamis.
Hajalipwa. TRA wanamzungusha. ameomba tena kilio chake kifike kwa raisi.Tangu tumesikia sakata lake na TRA sijapata kujua kama walishatatua tatizo lake, au ndio keshachinjiwa baharini?
View attachment 1421460
Ilikuwaje kwani?Hajalipwa. TRA wanamzungusha. ameomba tena kilio chake kifike kwa raisi.