Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

maafisa wa tra zaidi ya kumi wanapelekeshwa puta na darasa la saba aliefeli mwaka 87!!
Mpaka hapa bwana ramadhani kajitahidi sana kuwa mvumilivu lkn baadhi ya maofisa wa tra wanataka kubeba makosa ya wengine ili kumaliza msala,itakula kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu Muhutu wanamuonea sana.
 
Hapa ndipo utakapojua kuwa maamuzi mengi ya kwenye Media hayatekelezwi...... Hivi TRA wanapata wapi Ujasiri wakukiuka maagizo ya Raisi??

Kwanini Makonda hakutoa Ushirikiano kwq Bw. Ramadhani???

Je inawezekana Makonda ana uhusiano na hao Wafanyabiashara???

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda kaumiza watu wengi

Mungu atakuja kumlipa siku moja
 
HII NIMEIONA MILLARD AYO.INASIKITISHA SANA SNAAA
HUYU JAMAA.N MF.BIASHARA NA MLIPA.KODI.MZURI TU

..MIZIGO YAKE.KADHAA ILIZUIWA NA MAOFISA WASIOKUWA NA NIA NJEMA TRA ILI WATOE RUSHWA

IKAONEKANA ALISHALIPA NA HAKUKUWANNA SHIDA...

JAMAA BAADA YA KULALAMIKA.SANA ILALA.TRA AKAENDA MBELE ZAIDI AKAANZA KUDILI NA NAIBU KAMISHNA MMOJA..HUYU NAE AKAMPA.MOYO WAKAMWANDIKIA MPAKA.NA BARUA YA MALIPO...

MWISHO AKAAMBIWA MALIPO YAMEPELEKWA WIZARA YA FEDHA KWA KUIDHINISHA

JAMAA AKAMUULIZA NAIBU KWAHIOO MNANILIPA KUTOKANA NA RIPOTI IPI
MLISEMA MNAENDA KUIFANYIA KAZI RIPOTI MLIONIPA SIO SAHIHI

MWAKA SASA JAMAA ANALIA NA TRA APEWE HELA ZAKE

MH WAZIRI WA FEDHA KUNA KAMCHEZO HAPO TUNAOMBA FWATILIA HAWA MAOFISA WAHUNI WANAOFANYA WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAISHI KAMA WAKO WUHAM AIPENDEZI KABISA

WANATAKIWA KUPEWA USHIRIKIANO WALIOE KODI TUENDELEZE MIUNDOMBINU

TUNAOMBA SANA SANA ISSUE YAKE IFWATILIE ALIPWE STAHILI ZAKE N KIJANA MDOGO INACHOOSHTUSHA NAIBU KAMISHNA ANAMDANGANYAKIJANA MWENYE FEDHA ZAKE ACC TANO ZAIDI YA MIL 300

AIPENDEZI KIJANA ANAJIELEWA MPENI HAKI ZAKE

KUNA MAAFISA TRA WANAFUKUZA WAFANYABIASHARA KABISA PALE KARIAKOO SABABU YA NJAA ZAOO INATIA AIBUU

J
 
Screenshot_20200328-152735.png
Screenshot_20200328-153143.png
Screenshot_20200328-152936.png
 

Attachments

  • Screenshot_20200328-153456.png
    Screenshot_20200328-153456.png
    99.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200328-153416.png
    Screenshot_20200328-153416.png
    262.4 KB · Views: 2
SASAA AMEANZA KUTISHIWA KUUWAWA

TUNAOMBA USALAMA UMSAIDIE HUYU BWNAA ASITOKEE NYAU YOYOTEE KUMZURU
 

Attachments

  • Screenshot_20200328-154800.png
    Screenshot_20200328-154800.png
    100.2 KB · Views: 2
relax bro, naona kama umeandika vitu vingi ambavyo ni kama vizuri but hujaweka vizuri watu wakaelewa!

kwa mtu ambaye hajenda kwa Ayo, sio rahisi kuelewa ulichoandika
 
relax bro, naona kama umeandika vitu vingi ambavyo ni kama vizuri but hujaweka vizuri watu wakaelewa!

kwa mtu ambaye hajenda kwa Ayo, sio rahisi kuelewa ulichoandika
Mpwaa nimevaa mask na tembeaa na sanitaiza no relax wapi.mpwa
 
Back
Top Bottom