Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Utaskia "nilipga zangu vitatu ikabidi nisepe...nilikuwa na haraka sana"😅😅😅
 
Erecto gram 100 hiyo kazi yake!!
 
Wamekufa wote au yeye tu? Maana habari yako Ina utata
 
Miaka 27 sio binti, ni mwanamke mtu mzima.

Jamaa nampongeza sana. Amekufa kijasiri na kushujaa sana, ni sawa na nzi kufia kwenye kidonda.

Pumzika kwa amani shujaa, vita umevipigana, imani umeitunza na heshima umeilinda.
 

Huu ni upuuzi mnafanya kama vile ukiwa zaidi ya miaka 50 huwezi kufanya mapenzi!. Uzee wadogo unaaza miaka 65 sio 50. Ukiwa na miaka 50 unaitwa umri wa kati au middle age sio mzee. Kama huyo mtu alikuwa na matatizo mengine hata angekuwa na mwanamke wa miaka 40 ingetokea tuache kudanganyana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…