steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Nimeona hii niilete kwenu
Kama unajijua wew ni mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama
Mm Leo nimepata mteja kutoka Moshi kanipa oda kalipia 60000 nikamfungia mzigo kamtuma mtu kuja kuuchukua baada ya kuuchukua karidisha muamala
Voda hawajanipa taarifa kuwa muamala umeridishwa MPAKA saivi na hata mteja alipojaribu kurudisha hawajaniambia
Nilichokuja kugundua muamala umeridishwa ni mteja MPYA alilipia kuangalia salio naona pungufu nikamligia mteja akanijibu kwa dharau kuwa Mimi mjinga nazubaa na hela ndyomaana kachukua hela yake
Kama unajijua unapokea malipo kupitia lipa namba ya voda jiandae kulia