Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

Nilivyosoma kichwa cha mada nilitegemea kukutana na ishu kubwa, kumbe muamala kurudishwa 😂

Anyway, Ndo nasikia leo khs lipa namba, mteja kurudisha muamala.
Kila mtu atafikiwa kwa muda wake
 
Kila mtu atafikiwa kwa muda wake
Mm kuna mahali nafanya kazi wanauza bidhaa, tangu nipo pale cjawah kusikia mteja amerudisha muamala na wala miaka ya nyuma cjawah kusikia wakisema waliwahi kufanyiwa hvy na mteja.

Na bidhaa inakufikia huko huko mkoani na mteja anakuwa nayo na anaikagua kuwa ipo salama ndo analipia.
 
Nadhani hapo Voda inatakiwa wakulipe hyo 60k.

Ni kwa vile wabongo hatuko Aggressive, hapo ni kufungua kesi voda wanakulipa na hela za usumbufu.
 
Back
Top Bottom