steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Mteja anarudishaje muamala wa lipa number au vodacom inawezekana Lakini mitandao mingine haiwezekani?Mh, kuna siku mi shop mteja alitaka kurudisha, Vodacom wakanipigia na wakatuunganisha wote hadi muhafaka ulipopatikana. Bus tulilotuma ndio walichelewesha mzigo. Baadae ikabaki kwangu. Ilikua 2025.
Naamini hakuwa amelipa ispokuwa alituma aina ya sms na wewe hukukagua hiyo smsHaukulipwa ch
Unarudishwa na hawatoi taarifaSi wanasemaga muamala wa lipa number huwezi kurudisha?
Huenda bado hufanyi biasharaIngekuwa pesa inarudishika then hakuna mfanyabiashara angekuwa anapokea kwa njia hiyo!!
Naamini hakuwa amelipa ispokuwa alituma aina ya sms na wewe hukukagua hiyo shiyi
Haukulipwa chochote
Muamala huu na ulirudiMteja anarudishaje muamala wa lipa number au vodacom inawezekana Lakini mitandao mingine haiwezekani?
Muamala huu na uneruri na mm nilikuw naskia tu kwa watu ila Jana imenikutaMh, kuna siku mi shop mteja alitaka kurudisha, Vodacom wakanipigia na wakatuunganisha wote hadi muhafaka ulipopatikana. Bus tulilotuma ndio walichelewesha mzigo. Baadae ikabaki kwangu. Ilikua 2025.