steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
- Thread starter
-
- #21
Kila mtu atafikiwa kwa muda wakeNilivyosoma kichwa cha mada nilitegemea kukutana na ishu kubwa, kumbe muamala kurudishwa π
Anyway, Ndo nasikia leo khs lipa namba, mteja kurudisha muamala.
Mm kuna mahali nafanya kazi wanauza bidhaa, tangu nipo pale cjawah kusikia mteja amerudisha muamala na wala miaka ya nyuma cjawah kusikia wakisema waliwahi kufanyiwa hvy na mteja.Kila mtu atafikiwa kwa muda wake
Alipiga Voda na kuclaim amekosea or anataka kutapeliwa. Lakini kwakua sisi Lipa tumesajili hadi kwa leseni, Voda wakatubackup.Mteja anarudishaje muamala wa lipa number au vodacom inawezekana Lakini mitandao mingine haiwezekani?
Pole masta. Wacheki Voda tuone.Muamala huu na uneruri na mm nilikuw naskia tu kwa watu ila Jana imenikuta
Hebu cheki na Voda Mkuu.Kila mtu atafikiwa kwa muda wake