DOKEZO Mfanyabiashara wa Magari, Gideon Mlokozi Mashankara amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni wakati sasa watu tujinyime tununue bunduki mtu akija kimalaya unampasua tu kama alivyofanya Zakaria enzi zile za utawala wa awamu ya tano. Hapa ubaya umerudi kwa kasi kubwa kuzidi ile ya awamu ya tano tusikubali miito ya kijinga jinga.
Kumbe hata silaha ya kujilinda huna na kila siku unatukana watu hapa JF!! 🤣🤣
 
Kwanini tunawaadekeza CCM hivi?!
 
TAARIFA YA KUPOTEA / KUTOWEKA KWA MTOTO EMMANUEL AYUBU MLEKE UMRI 16
MWANAFUNZI WA KIDATO CHA 3 SHULE YA SECONDARY SAKAYO MOSHA ILIYOPO WILAYA YA
MOSHI VIJIJINI KATA YA MARANGU MASHARIKI, KIJIJI CHA MSHIRI.
KIJANA ALIPOTEA TANGU TAREHE 25/08/2024 SIKU YA JUMAPILI
WAZAZI WALIMUACHA NYUMBANI NA BABU YAKE AKIJIANDAA KWENDA IBADA BAADAE ALIONDOKA AKIWA NA BAISKELI RANGI YA NJANO NYUMBANI KWA BIBI NA BABU YAKE (KOTEETE AU RONGI)
ALIVAA SURUALI NYEUSI, YEBOYEBO NYEKUNDU NA T SHIRT RANGI YA PINK
TAFADHALI KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA ATOE TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE KILICHOKARIBU AU APIGE SIMU NAMBA
0757 507 930 AYUBU MLEKE (BABA MZAZI)
0674 900 258 HAPPY MINJA (MAMA)
 

Attachments

  • IMG-20240829-WA0021.jpg
    171.7 KB · Views: 5
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…