SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mpaka sasa umeshazidi yale ya awamu ya tano.Yaani buu utawala umejaa ushetani mkubwa. Mbona inakuwa ni zaidi hata ya utawala wa awamu ya 5?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa umeshazidi yale ya awamu ya tano.Yaani buu utawala umejaa ushetani mkubwa. Mbona inakuwa ni zaidi hata ya utawala wa awamu ya 5?
Karakana ipi mkuu?Mlitamba sana enzi za magu na sasa mmeinuka tena. Mpe hai jamaa wa pale karakana
Kumbe hata silaha ya kujilinda huna na kila siku unatukana watu hapa JF!! 🤣🤣Ni wakati sasa watu tujinyime tununue bunduki mtu akija kimalaya unampasua tu kama alivyofanya Zakaria enzi zile za utawala wa awamu ya tano. Hapa ubaya umerudi kwa kasi kubwa kuzidi ile ya awamu ya tano tusikubali miito ya kijinga jinga.
Sijawahi kutukana mtu hapa, na kama vipi jaribu uone, nakuvua ubingwa kwanza kisha na kupasua kichwa.Kumbe hata silaha ya kujilinda huna na kila siku unatukana watu hapa JF!! 🤣🤣
Nijaribu kukutukana au? Mbona sijaelewa!?Sijawahi kutukana mtu hapa, na kama vipi jaribu uone, nakuvua ubingwa kisha na kupasua kichwa.
Wewe si unasema sina silaha, waite hao watekaji pamoja na wewe, nawainamisha fresh na kuwavua ubingwa kisha nawavunja miguu wote.Nijaribu kukutukana au? Mbona sijaelewa!?
Kwanini tunawaadekeza CCM hivi?!Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30,mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.
Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.
Watu hao waliojitambulisha kama askari wa Jeshi la polisi walikuwa watano,walivamia ofisi hiyo wakiwa wamevalia kiraia na kumuweka Chini ya ulinzi.
Ndipo alipowahoji waoneshe vitambulisho lakini wakakaidi na kudai wanampeleka kituo cha polisi Tabata,atajua huko huko.
Walitumia nguvu na kumfunga pingu kisha wakamuingiza kwenye gari walilokuja nalo aina ya Landcruiser hardtop, ikiwa haina namba
Lakini mashuhuda waliokuwa nje ya ofisi wanasema,gari hilo halikuwa na namba kwa nyuma ila kwa mbele liliandikwa "STL" tu.
Gari hilo halikuelekea Kituo cha polisi Tabata kama walivosema bali lilielekea njia ya kwenda kinyerezi.
Familia ilianza juhudi za kumtafuta vituo vyote vya Polisi Jijini Dar es saalam bila mafanikio
Tulianza kituo cha polisi Tabata, tukaambiwa hayupo na hawana taarifa zake,Tukaenda kituo cha polisi cha Staki Shari,Kinyerezi na Buguruni pia hawakuwa na taarifa zake
Kesho yake asubuhi tuliendelea na vituo vingine tulianzia Central, Oysterbay na vituo vyote bila Mafanikio
Tumezunguka Hospitali zote jijini Dar es saalam na vyumba vya kuhifadhia maiti "Mortuary" bila Mafanikio.
Tulifungua taarifa kituo cha Polisi cha Staki Shari na kupewa RB namba STK/RB/6642/024
Baada ya siku ya tano bila Mafanikio tumeenda Central polisi kufungua jalada la Uchunguz,tumeambiwa upelelezi unaendelea.
Kwa niaba ya Familia tunaomba mtu yoyote mwenye taarifa kuhusu ndugu yetu awasiliane na Baba yake GIDEON kwa namba 0786878133 au kwa namba ya rafiki yake ambayo ni 0624497811
Asante sana.
Oooh kumbe unayo? Nilikuwa sijui vipi unaimiliki kihalali au? Na mimi nifundishe jinsi ya kuipata kihalali.Wewe si unasema sina silaha, waite hao watekaji pamoja na wewe, nawainamisha fresh na kuwavua ubingwa kisha nawavunja miguu wote.
Umejitoa kwenye hili kundi la Watanzania?Wabongo wangi ni wajinga tu yaani wanakuja watu from no where wanamchukua mshaji wako kibabe na ww upo tu unaangalia?
Musipokua na umoja mtapotezwa kama kuku endeleni na ujinga wenu.
.Oooh kumbe unayo? Nilikuwa sijui vipi unaimiliki kihalali au? Na mimi nifundishe jinsi ya kuipata kihalali.
Kazi iendeleeAnaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30,mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa jeshi la Polisi siku ya Ijumaa ya tarehe 02 August 2024 majira ya Saa 2 :00 usiku.
Akiwa katika ofisi ya magari ya rafiki yake inayojulikana kama RAPHAEL STAR iliyopo maeneo ya Segerea Stand.
Watu hao waliojitambulisha kama askari wa Jeshi la polisi walikuwa watano,walivamia ofisi hiyo wakiwa wamevalia kiraia na kumuweka Chini ya ulinzi.
Ndipo alipowahoji waoneshe vitambulisho lakini wakakaidi na kudai wanampeleka kituo cha polisi Tabata,atajua huko huko.
Walitumia nguvu na kumfunga pingu kisha wakamuingiza kwenye gari walilokuja nalo aina ya Landcruiser hardtop, ikiwa haina namba
Lakini mashuhuda waliokuwa nje ya ofisi wanasema,gari hilo halikuwa na namba kwa nyuma ila kwa mbele liliandikwa "STL" tu.
Gari hilo halikuelekea Kituo cha polisi Tabata kama walivosema bali lilielekea njia ya kwenda kinyerezi.
Familia ilianza juhudi za kumtafuta vituo vyote vya Polisi Jijini Dar es saalam bila mafanikio
Tulianza kituo cha polisi Tabata, tukaambiwa hayupo na hawana taarifa zake,Tukaenda kituo cha polisi cha Staki Shari,Kinyerezi na Buguruni pia hawakuwa na taarifa zake
Kesho yake asubuhi tuliendelea na vituo vingine tulianzia Central, Oysterbay na vituo vyote bila Mafanikio
Tumezunguka Hospitali zote jijini Dar es saalam na vyumba vya kuhifadhia maiti "Mortuary" bila Mafanikio.
Tulifungua taarifa kituo cha Polisi cha Staki Shari na kupewa RB namba STK/RB/6642/024
Baada ya siku ya tano bila Mafanikio tumeenda Central polisi kufungua jalada la Uchunguz,tumeambiwa upelelezi unaendelea.
Kwa niaba ya Familia tunaomba mtu yoyote mwenye taarifa kuhusu ndugu yetu awasiliane na Baba yake GIDEON kwa namba 0786878133 au kwa namba ya rafiki yake ambayo ni 0624497811
Asante sana.
Nimesema walio wengi sio wote.Umejitoa kwenye hili kundi la Watanzania?
Wakija unachomoa silaha unapambana. Safi. JF kuna majasiri sana.Nimesema walio wengi sio wote.
me sio miongoni mwa hao wajinga