Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Ndugu pengine Una Hoja BUT ulivyoanza kujinasibu wewe ni mfuasi wa Magufuli umekosea sana. Ungeweza kuongea bila kumtaja the so called Magufuli ungeeleweka sana. Shukuru Mimi Nimesoma. By the way you may have a point
 
Nishakwambia kiharage kinawasha sababu kubwa hauna boyfriend wa kukuliwaza haya ndio madhara yake
 
Hivi wewe Suzy Elias una kichwa au una cabbage juu ya shingo yako? Unaanzaje kubeza Tsh 30,000 wakati yule mungu wenu wa Chato mwenye kichwa kama pumbu ya punda hajawahi kuongeza hata Tsh 100/= kwa miaka 5.

Wasukuma tuacheni na Mama yetu Samia, wakati wenu wa kufanya UHAYAWANI ulikwisha 17/03/21
 
Kwamba mimi ndio sijui au huyu ndio hajui?. Kama mtu anapata laki 370,000. Nyongeza ya 23.3 nyongeza yake itakuwa 86,000. Au wewe unamaanishaje?
Wapi kwenye andiko langu nimeainisha % na kiasi ukiachilia mbali sijataja Taasisi yeyote?!

Endelea kufurahia hiyo nyongeza sasa ila nakuthibitishia haitokufaa lolote.
 
Lini tuliunganishwa na huyo mama yenu hadi ututake tuachanishwe naye?!

Dogo acha utani wa mke wa baba yako tafadhari asije pasuliwa manundu chumbani kisa unamnokolea ameunganishwa na Wasukuma.
 
Lazima uvae bukta kichwani mwaka huu mpuuzi wewe!

Endelea kuumia Samia kuupiga mwingi na ukizidiwa rudi kwenu Rwanda
 
Kwa hiyo ulitaka wafanyeje kwa mfano? Mishahara ya serikali ni midogo wacha tu washangilie hakuna namna

 
Ni kiasi kidogo, wewe pambana na kazi ya ziada ili ujiongezee kipato.
 
Kwa maana iyo washangilie miaka 6 ya bila ongezeko kutoka kwa mwenda zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…