Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Huihui we ni mshenziiiiiii,huwa unawanyanyapa punda kuangalia nyeti zao.Tutakupeleka desk la wanyama.
Kama unabisha nitakuletea nyeti za punda halafu ulinganishe na kichwa cha yule DIKTETA wa Chato.
 
Unavyoongea utafikiri hujawahi kufiwa. 😁😁 fika sehemu ukute wanamuongelea vibaya marehemu ndg yako uone utakavyojisikia hata kama alikuwa mtenda maovu kwenye jamii.
Nikikuta watu wanamsema marehemu Magufuli nitawanunulia round ya kinywaji wanachotumia, na kama ni wakristu nawanunulia na kilo 2 za kitimoto.

Wacha tusherehekee kifo cha Magufuli kwa Raha zetu. Shetani yule alitutesa
 
Kimoja kilichochangia mfumuko wa bei ni ile miradi ya awamu ya 5. Serikali inapotumia hela nyingi kwenye miradi inashusha thamani ya fedha na matokeo yake ni vitu kupanda bei.
 
Mkuu
Asante kwa bandiko zuri
Huo mshahara tunaoshangilia Hadi utoke na Tuone mfumuko wa bei utakuwaje ndio tushangilie !
Kwa Sasa tusishangilie hewa!
Mambo Bado!!!!
 
Reactions: nao
Hiyo 60000 unayoidharau mtumishi anaweza kwenda kuikopea bank na akapata mtonyo wa maana ukamsaidia kwny mizunguko yake ya biashara.wahitimu wengi wanaonja joto la jiwe miaka sita no ajira watumishi walikuwa hohehahe kwa hili samia kaupiga mwingi ajitahidi tu kupunguza graduate mtaani.kipindi cha jiwe tuliambiwa walimu wanatosha na kuzidi leo hii inakuja report kuna upungufu wa waalimu 100000+ jamaa hakuajiri eti stiglers gorge
 
Wafanaykazi wengi wa Tz akili zao ni za panzi yaani wanashangilia utadhani kuna jambo kubwa limefanyika kumbe ni utapeli tupu, kwanini makatibu wa CCM wote walipandishiwa mishahara yao kwa 100%?
 
Hapa wamesagiwa vipande vya chupa wakapewa, dhahabu yao wamechukua!
Hesabu ni muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu!
 
Wewe ni maQallio sana.
Huniambii kitu kuhusu huyo shetani wako Magufuli.
Eti watu walupandishwa vyeo kwa kukopwa.
Mwendawazimu kabisa wewe.
Hebu toa kinyongo chako utakufa mapema.
Haya waandikie UV CCM wenzako, sisi ambao tumeingia kwenye ajira kabla hata Magufuli hajawa Rais hutuongopei kitu.
Kwa bahati nzuri niko wizara ya Ujenzi ambayo Magufuli alikuwa Minister.
Huniongopei chochote
 
Kimsingi alichofanya ssh kwenye Mshahara ni kumpunguzia mfanyakazi makali ya Mfumuko wa bei. Hakuna nyongeza yoyote ambayo mfanyakazi anabakiwa nayo kama akiba.

Kwangu mimi Pesa wakati wa Magufuli ilikuwa na purchasing power kubwa ingawa ilikuwa inapatikana kwa jasho.

Tuupime Mshahara wa mama katika manunuzi siyo katika namba Kabla ya kushangilia na kusifia kama mazuzu
 
Hata hii ni Ni utopolo mtupu, hivi unafuatilia hali ilivyo nchi nyingine duniani? Mfano hata Kenya, Uganda, South Africa, Uingereza, China, Canada n.k?
Huko kote kuna mfumuko wa bei ambao haujawahi kutokea kwa kipindi kirefu, sasa Tanzania ambayo ni importer ingeacha vipi kuathirika?
Samia asingeongeza si ndio ingekuwa balaa zaidi?
 
Wana umoja/swing mtapata tabu sana na mnapata tabu sana kama walivyopata mnao waandama hivi Leo wenzenu wamepitia tanuru la moto na wameibuka kama dhahabu safi,nyie Nii kwanza kama mkaa wa mkorosho[emoji13]
 
Mbona Magufuli wako alikuwa haongezi mshahara na wabunge walikuwa wakilipwa unono?
 
Wewe ulilipwa hayo madeni lini. Watu hadi leo wanadai na wengine wamestaafu wakiwa bado wanadai.
 
Nikikuta watu wanamsema marehemu Magufuli nitawanunulia round ya kinywaji wanachotumia, na kama ni wakristu nawanunukua na kilo 2 za kitimoto.

Wacha tusherehekee kifo cha Magufuli kwa Raha zetu. Shetani yule alitutesa
Alikutesa wapi ni bendera fuata upepo, we una nini kiasi cha kuteswa na JPM?
 
watanzania mnaongea sana mpaka mnaboa khaaaa
 
Mfumuko ni over 50% nyongeza just 23.3% wakati kwa miaka 5 iliyopita hakuna nyongeza na mfumuko ni less than 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…