Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Wewe unadhani zile Pesa za 'Kukodi' Wasanii wakubwa Kipindi chote cha Kampeni zilizotaka wapi na sasa HazinaCCM na TRACCM watazirudishaje?
Acheni chuki kwa serikali. Lipeni kodi..hakuna kupiga dili ndani ya 5 tena.

Fanyeni kazi..

Hata jamii forum sasa tutaanza kuifundia ianze kupatikana saa 2 usiku hadi 12 asubuhi.
 
Kongole sana kiongozi... Yaani wamekurupushwa huko, and it seems wameshindwa kuja na vyanzo vipya vya kodi ndo wakakimbilia kutoa sababu ya waajiri kutopeleka makato (which I dought kama kuna mwajiri mwenye ubavu huo kwa utemi uliopo awamu hii) so wakaja na huo mkakati wa dharura...
 
Acheni chuki kwa serikali. Lipeni kodi..hakuna kupiga dili ndani ya 5 tena.

Fanyeni kazi..

Hata jamii forum sasa tutaanza kuifundia ianze kupatikana saa 2 usiku hadi 12 asubuhi.
Kwa Roho yako 'Mbaya' hii ndiyo maana una 'Umasikini Uliokutukuka' mpaka na Chuki ya ndani na huu 'Mtandao' wa JamiiForums 'Mpuuzi' Wewe.
 
Acha upimbi wewe, yule mwenzio aliyekimbilia panga kwa yule dereva na kudai faini ya laki 5 kashatimuliwa, sasa akalime matikiti huko na panga lake, bado wewe [emoji23] [emoji23]
 
Weka ugoko wako serikali imeweka nondo.tuone matokeo
 
Halafu ukija kuandaa hesabu zako za mwaka unafanyaje mkuu ili ubaki na faida kubwa??

Nikuibie siri ilivyokua inafanyika. Unalipa mishahara watumishi wako 50 tsh 300,000@ halafu kwenye mahesabu yako unaenda kuandaa kwa muhasibu/tax consultant unaandika umelipa watu 70 tsh 350,000@ kwa kuonesha labda daftari tu la mishahara na saini. Inapigwa hesabu mapato-matumizi(inflated) kinachobaki kinapigiwa hesabu Kofi

Sasa hivi itakua na TIN ya biashara na ya wafanyakazi 50 kwa mfano kilichoingia na kilichotoka tayari kinaonekana

Ila ofkoz njia nyingine za kukwepa zitapatikana tu(sitaziandika hapa) hahahaaa
 
Mleta mada hajahoji manufaaau umuhimu wa kuwa na hiyo TIN. Amehoji approach ya hao tra- lugha ya kistaarabu ya kuwasiliana na walipa kodi.
 
Kama ni faida kwa mfanyakazi, inakuwaje iwe ni lazima? Angalizo: kwa sasa kupata TIN ni bure, muda, itakuwa ni chanzo cha mapato.
 
Uchaguzi umekwisha sasa mtalimia meno
 
Naomba nitoe mfano kidogo tu ,nilikuwa na duka sikulipa kodi kwa miez sita baada ya mda wa mwanzo kifika ,nikawa na bajaji ikakamatwa nilipokwenda Sumatra walinitaka nifike tra kulipoa leseni .kuingiza tin yangu ilionekana na biashara nyingine ya duka nadaaiwa hivyo ilibd nilipie kodi ya duka na bajaj ndo niruhusiwe kuondoka nayo.

Kiufupi tin ni nzuri lakn wafanyakaz mjipange kulipa kodi kiufasaha kabsa kwa kila mnachofanya kuongeza kipato.pia biashara yako .na mda wa kufanya biashara bila kuzingatia mda wa serikal unaolipwa mshahara pia nao utafuatiliwa vizur

Nendeni kachukueni tin mtimize malenho ya serikal lakn mjue kuishi kiujanja ujanja na kukwepa kwedi itakuwa mwisho

Kwa pamoja tuijenge nchi

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Lugha ya uungwana ndiyo topic hapa. Mbona watu 'viongozi' hawana hata uwezo wa kujua mtu anasema nini?
 
Hili la kuwa na TIN ili ukidaiwa wakukamate vizuri kupitia mshahara je linawahusu pia mapolisi, vyombo vyote na wakurugenzi wote wa uchaguzi au litawaumiza wapinzani pekee
 
Uchaguzi umekwisha sasa mtalimia meno

Mwakani kikotoo hiki akibagui Kama uliisaidia ccm uliwapiga mabomu watz ili ccm ipite tena mapolisi ndo inatakiwa kikokotoo kiwatembelee vizuri kabisa ukistaafu unapewa robo kingine subiria Hadi miaka 10 baadae
 
Mkuu,Kiwango cha makusanyo ya kodi kitaongezeka,wigo nao utaongezeka.Mianya ya kukwepa kodi itapungua.Kiwango cha kodi kitapungua
Unamaanisha kiwango cha kodi kwa MTU mmoja mmoja ?! Sio ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…