IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Fokeaneni wenyewe hukooo, hata ikibidi na viboko mchapwe kabisa kama yule mwalimu kule Mlele, Katavi...Mwambie huyo.wakati tarehe 28 mwezi wa 10 imeshapita.huu sio muda wa kubembelezana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fokeaneni wenyewe hukooo, hata ikibidi na viboko mchapwe kabisa kama yule mwalimu kule Mlele, Katavi...Mwambie huyo.wakati tarehe 28 mwezi wa 10 imeshapita.huu sio muda wa kubembelezana.
Wafanyakazi sector binafsi wengi hawalipi kodiTangu Lini Mfanyakazi Akakwepa Kodi, Hii Siyo Sawa
Acheni chuki kwa serikali. Lipeni kodi..hakuna kupiga dili ndani ya 5 tena.Wewe unadhani zile Pesa za 'Kukodi' Wasanii wakubwa Kipindi chote cha Kampeni zilizotaka wapi na sasa HazinaCCM na TRACCM watazirudishaje?
Kongole sana kiongozi... Yaani wamekurupushwa huko, and it seems wameshindwa kuja na vyanzo vipya vya kodi ndo wakakimbilia kutoa sababu ya waajiri kutopeleka makato (which I dought kama kuna mwajiri mwenye ubavu huo kwa utemi uliopo awamu hii) so wakaja na huo mkakati wa dharura...Utakuwa kilaza wa TRA wewe! Kwani waajiliwa huwa hawalipi kodi? Leo hii TRA wanapobuni mfumo wa TIN kwa watumishi ndo watumie vitisho na kuweka ultimatum? Kwa maana nyingine mwenzi huu watu waanze kufukuzana na kuweka foleni TRA kwa kuwa tu wao wameamua? Kwa nini hawakutangaza tangu July wakati mwaka wa fedha unaanza? Au walisubili 28 October ipite! Rubbish!
Unapeleka hiyo hiyo wanaipokea. Kama huna kabisa unaomba online (ila uwe na kitambulisho cha Taifa)...Kama tin ulikua nayo mzee inakuwaje
Kwa Roho yako 'Mbaya' hii ndiyo maana una 'Umasikini Uliokutukuka' mpaka na Chuki ya ndani na huu 'Mtandao' wa JamiiForums 'Mpuuzi' Wewe.Acheni chuki kwa serikali. Lipeni kodi..hakuna kupiga dili ndani ya 5 tena.
Fanyeni kazi..
Hata jamii forum sasa tutaanza kuifundia ianze kupatikana saa 2 usiku hadi 12 asubuhi.
Acha upimbi wewe, yule mwenzio aliyekimbilia panga kwa yule dereva na kudai faini ya laki 5 kashatimuliwa, sasa akalime matikiti huko na panga lake, bado wewe [emoji23] [emoji23]Watu wanaleta ubishi usio na maana. Hata jambo la wazi kama hili unataka ubembelezwe mpaka lini?
TRA wametoa elimu kwa muda mrefu na tangazo la muda mrefu. Kwa hiyo wametoa muda wa kutosha na elimu juu. Sasa Kama mtu hataki kutekeleza ni lazima kutumia enforcement.
Kama muungwana na unaeleweka na 'vitisho' tekeleza ndani ya muda
Halafu ukija kuandaa hesabu zako za mwaka unafanyaje mkuu ili ubaki na faida kubwa??Lakini hiyo mbona siyo ufumbuzi? Mfano mie nimeajiri madereva, mikataba yao inaonesha wanalipwa Tz. X. Lakini mimi nawalipa kiukweli Tz. Y., ambapo Y>X, na hiyo tunafanya kwa makubaliano, hiyo TIN itasaidia nini? Maana yenyewe inatumia documentation, na documentation inaonesha Tz. X?
Mleta mada hajahoji manufaaau umuhimu wa kuwa na hiyo TIN. Amehoji approach ya hao tra- lugha ya kistaarabu ya kuwasiliana na walipa kodi.Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako
Kama ni faida kwa mfanyakazi, inakuwaje iwe ni lazima? Angalizo: kwa sasa kupata TIN ni bure, muda, itakuwa ni chanzo cha mapato.Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako
Wafanyakazi sector binafsi wengi hawalipi kodi
Uchaguzi umekwisha sasa mtalimia menoKuna taarifa inasambazwa kwa video clip na magazetini ikiwa imetolewa na TRA kuwataka waajiliwa wote kuwa na TIN. Ni taarifa ambayo naona kama inatokana na uongozi wa TRA wenye mapungufu ya hekima. Kwanza imeletwa ikiwa na kikomo (ultimatum) wakiamini wanayo nguvu hiyo ya kuwapa ultimatum waajiliwa wote. Pili imetolewa utadhani ni jambo la dharula. Tatu imetolewa kwa lugha ya hovyo, isiyo na uungwana pamoja na tishio la kuzuia mshahara wa mwajiliwa.
Naomba TRA wasijitwishe madaraka yasiyo yao. Mwajiliwa yeyote hajawahi kuwa na mkataba wa aina hiyo na TRA. Kama TRA wanaleta utaratibu mpya, wanatakiwa wawe waungwana (reasonable). Walete taarifa ya kiungwana na siyo kutishia wakati hakuna mwenye makosa. Labda wanaiga lugha za viongozi wanaomiliki vyombo vya dola. TRA hana nguvu ya aina hiyo na ni makosa kutishia watu wasio na mkataba wa aina hiyo.
Lugha ya uungwana ndiyo topic hapa. Mbona watu 'viongozi' hawana hata uwezo wa kujua mtu anasema nini?Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako
Uchaguzi umekwisha sasa mtalimia meno
Ndo maana ya hekima inayotafutwa. Ukifokewa nawe ukafokea wengine, wewe ni bwege!
Unamaanisha kiwango cha kodi kwa MTU mmoja mmoja ?! Sio ?!Mkuu,Kiwango cha makusanyo ya kodi kitaongezeka,wigo nao utaongezeka.Mianya ya kukwepa kodi itapungua.Kiwango cha kodi kitapungua