Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,774
Mfanyakazi anatambulika kama mlipa kodi kupitia TIN yake baadala ya mfumo wa zamani ambapo muajiri anatambulika kama ndio mlipa kodi..
Hili linaweza mletea nafuu pale anapotaka kufanya biashara nyingine au anapoagiza vitu kama magari anaweza kuclaim excemption kwa ushahidi kwamba yeye ni good tax payer.. Mtazamo tu..
Yah ni kweli ila sharti biashara yako iwe na mhasibu ila ukiwa serious ukafuatilia ina unafuu kwa mfanya kazi alafu ukafanya biashara. Maana unakuta mfanyakazi wa basic salary ya mil 3 unalipa PAYE karibia laki 7 na ushee...kwa mwaka ni mil 9...sasa mfanyabishara wa mil 9 kodi tu si mkubwa huyo??