sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Hii itawafanya wamiliki wa viwanda kupunguziwa mzigo wa wafanyakazi hewa kama ilivyosasa kwa kubadili majina majina.
Kubadili majina gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itawafanya wamiliki wa viwanda kupunguziwa mzigo wa wafanyakazi hewa kama ilivyosasa kwa kubadili majina majina.
uzuri wake ni upi?HII NI NZURI SANA KWA WAFANYAKAZI
SDL NA PAYE hapo mfanyakazi hachomoi ...nilikuwa nakatwa 1M kila mwezi ya PAYE nilikuwa naumia sana
[emoji40][emoji40][emoji851]1M duh basic ilikuwa ngapi mzee?
Ni hivi kuna waajiriwa wana majina mawili mawili na kupitia namba itadhibiti wafanyakazi hewa.Kubadili majina gani?
Unaweza kuelezea kidogo mkuu Faida yake ipoje pale unapoagiza kitu toka nje ya nchiMimi ni mtumishi wa serikali, ninayo TIN zaidi ya miaka 8, sijaona faida yake labda ninapoagiza kitu toka nje ya nchi tu! Msiwe na mihemko sana!
Kwani ukiendelea mfumo wa sasa, serikali inaingia hasara gani? Je, watumishi wananufaikaje na mabadiriko haya?
Duh! Mambo ni mengi!
Wakina nan ?!Kuna watu wanatafutwa hapo [emoji23]
Mi na wewe hatujui ila nachoamini mwisho wa hili utaambatana na kilio 😅 kama sio hela za wadaiwa sugu sidhani.Wakina nan ?!
Sawa ngoja na wengine, watoe mawazo yao. Maana haya mambo ni mapya kwetu.Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Mimi sio mwanamuziki wa kale kawimbo pendwa. Hivyo usinijumuishe.Maandalizi ya kupambana na economic sanctions...endeleeni kuimba mapambio
Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu