Nimeanza kuelewa!Hii ni kwa ajili ya kukusanya Kodi zaidi kwa serikali. Kuna ajira nyingine hasa makampuni madogo wafanyakazi wanalipwa mishahara na hawalipi hata senti Kama Kodi. Serikali umelenga watu hawa ambao ni wengi Sana ambao Kama wangekatwa paye basi hela nyingi mno ingepatikana.
Pili kupitia TIN hata wanaodaiwa na taasisi Kama bodi ya mikopo ya elimu ya juu ambao wameajiriwa au kujiajiri sekta zisizo rasmi sana itakuwa rahisi kuwanasa.
Kwakifupi mtafutano unaanza
Ninavyojua, serikali ni capitalist : haikubali kuliwa