Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Mimi ni mtumishi wa serikali, ninayo TIN zaidi ya miaka 8, sijaona faida yake labda ninapoagiza kitu toka nje ya nchi tu! Msiwe na mihemko sana!
Unaweza kuelezea kidogo mkuu Faida yake ipoje pale unapoagiza kitu toka nje ya nchi
 
Kwani ukiendelea mfumo wa sasa, serikali inaingia hasara gani? Je, watumishi wananufaikaje na mabadiriko haya?

Duh! Mambo ni mengi!

Huu ni mpango mkakati wa kuwabana waajiri na TRA ....walikuwa wanapiga mamilion ya hela halafu wanapeleka "change" hazina!
 
Kuna habari zinazagaa kwa kasi kuwahusu Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), kuanza na utaratibu wa kila mfanyakazi wa Tanzania kuwa na TIN No.
Hii ina maana gani ?

IMG-20201118-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom