Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Nimeanza kuelewa!
Ninavyojua, serikali ni capitalist : haikubali kuliwa
 
Mtafutano utaanza, maana ku file return hizo lazima uweke TIN na namba ya NSSF/PSSSF hivyo hata bodi ya mikopo, itawakamata tuu wadaiwa wake kuilaini, pia walioajiriwa na wanakula mafao ya kukosa ajira

Serikali itakusanya kodi yake halali kutoka kwa waajairi wasio waaminifu ambao wanakilipa milioni 3 afu wanasema moja TRA

Hongera TRA mwanzo mzuri wa kuboresha ukusanyaji mapato
 
Mkuu kwani hapa nchini kuna mafao ya kukosa ajira.
 
Mkuu kwani hapa nchini kuna mafao ya kukosa ajira.
Ndii lipo hujawahi kusikia?kama ulikuwa mchangiaji wa mfuko husika ikatokea hauna ajira kwa sababu ya mkataba umeisha ama umefukuzwa kazi basi una qualify kupata fak hilo kwa kipndi cha miezi 6 kama sijakosea
 
Ww
Ww ndo umeeleza kitu cha kuieleweka,jyaan hpa wale wa loan board tujiandae kisaikolojia maana rungu hilo linakuja
 
Hapa Nimeelewa. Umeongea vizuri Sana Mkuu
 
Very good question [emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]I don’t think this will be free of charge, meaning more of taxpayers hard earned money to the Treasury coffers.
Tena unaweza kujiandikisha online bure kabisa ukienda tra wanakuprintia tuu
 
Reactions: BAK
Elimu zaidi inahitajika jamani
 
Kuna kitu huwa sielewi,inawezekanaje ukalipa Kodi zaidi?mpaka TRA ikurudishie?
 
Kujua komputa ,kivipi mkuu ,sijaelewa !?
 
Kuna kitu huwa sielewi,inawezekanaje ukalipa Kodi zaidi?mpaka TRA ikurudishie?
Kwa kaelimu kangu haka nimefundishwa unaweza lipa kodi zaidi kwa kutumia installments. Kwenye hizo unafanya makadirio, mfano trend ya biashara inatarajiwa kwenda kama mwaka uliopita hivo unalipa before due date ya deadline. Ukitazama mwaka ulopita ulilipa labda milioni 12 kwa installments nne, mwaka huu unalipa 11M lakini kabla haujaisha ukapata hasara kubwa au ukakosa kufanya kazi (kama hii corona virus ilivosababisha) unaweza kuta kodi uliyolipa mapema ni nyingi zaidi ya stahiki hivyo utaomba kurudishiwa.

Naamini baadhi ya makampuni hasa ya utalii yatastahili sana kufanya hivi kwa mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…