Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Uungwana ulikoma rasmi 2015. Imefikia wakati sasa hivi kila mtu anajihisi ana madaraka kuliko hata uhalisia wenyewe. Rejea mtumishi wa LATRA kumtolea dereva sime.

Hivyo tukae tayari kwa amri zaidi kama hizi. Kipimo cha utumishi bora kwa sasa ni jinsi gani unaweza kubwata na kuogopeka. They have learnt from the top.

Tumefikia kipindi hata haki yako ya msingi unapewa kama msaada na kwa masimango juu.
 
Hilo ni jambo ka kawaida mkuu sema inatakiwa ueleweshwe faida yake ukiwa na TIN kama wewe nimfanyakazi tambua kuwa ulikuwa ukilipa kodi kama kawaida sasa ukipata hiyo itakusaidia hata kwa mambo mengine ya kibiashara hutowajibika kupata TIN nyingine zaidi ya hiyo ambayo utakuwa nayo! Kuwa mzalendo wa nchi yako ukipewa TIN nifaida kubwa kwako
 
Nadhani tatizo siyo kujua maana ya TIN na faida yake, tatizo ni uwasilishaji wa taarifa. Ni kweli TRA wana madaraka juu ya mwajiliwa wa wizara ya Elimu? Wamezoea kufukuzana na wafanyabiashara sasa wanajisahau na kuamini kila mtu ni himaya yao.
 
Mkuu unahitaji elimu, suala la TRA kutaka kila mwajiriwa awe na Tin ni jambo la busara sana. Kumekuwa na ukwepaji wa kodi mkubwa sana utakuta kampuni inawajiri hta 100 alafu paye wanasema wana waajiri 50. Huenda hata wewe hapo ulikuwa unakatwa paye kwenye msahara lakn haifiki serikalini muhasibu au mwajir anafaidi anakula.

Huu mfumo mpya ni mzuri kabisa kwasababu mfanyakazi nae analipa kodi ukiachana na mfanyabiashara tena kuna wafanyakazi wanalipa kodi kubwa kushinda hata hao wafanyabishara.

TRA ni chombo cha serikali hivo kinapokea maagizo kutoka juu. Na suala la kutumia TIN taarifa ilitoka muda sana.ulikua wapi boss??
 
Nadhani tatizo siyo kujua maana ya TIN na faida yake, tatizo ni uwasilishaji wa taarifa. Ni kweli TRA wana madaraka juu ya mwajiliwa wa wizara ya Elimu? Wamezoea kufukuzana na wafanyabiashara sasa wanajisahau na kuamini kila mtu ni himaya yao.

Kwenye masuala ya kodi wanahusika kuna taasisi nyingine ya kukusanya kodi zaid ya TRA?? au wewe PAYE yako unalipia wapi??. Madaraka wanayo kuhakikisha PAYE inalipwa kwa wakati.
 
Wengi wanakurupuka sana

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
... Nadhan mleta mada hapingani na ujumbe kuhusu kuwa na TIN kwa kila mwajiriwa, Ila concern yake ni jinsi ujumbe huo unavyowasilishwa kwa walengwa....
 

Usipotoshe watu.
 
Mtoa mada hajapinga anacholalamika yeye ni kufokewa
 
TUMEWAMALIZA WAPINZANI SASA TUMEKUJA KWENU.

TUTAWAKAMUA HADI AKILI ZENU ZITOKE TUMBONI ZIRUDI KICHWANI.

by mzee wa mitano tena.
 
Wewe unadhani zile Pesa za 'Kukodi' Wasanii wakubwa Kipindi chote cha Kampeni zilizotaka wapi na sasa HazinaCCM na TRACCM watazirudishaje?
 
Kwenye masuala ya kodi wanahusika kuna taasisi nyingine ya kukusanya kodi zaid ya TRA?? au wewe PAYE yako unalipia wapi??. Madaraka wanayo kuhakikisha PAYE inalipwa kwa wakati.
Utakuwa kilaza wa TRA wewe! Kwani waajiliwa huwa hawalipi kodi? Leo hii TRA wanapobuni mfumo wa TIN kwa watumishi ndo watumie vitisho na kuweka ultimatum? Kwa maana nyingine mwenzi huu watu waanze kufukuzana na kuweka foleni TRA kwa kuwa tu wao wameamua? Kwa nini hawakutangaza tangu July wakati mwaka wa fedha unaanza? Au walisubili 28 October ipite! Rubbish!
 
Kama tin ulikua nayo mzee inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…