Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Uungwana ulikoma rasmi 2015. Imefikia wakati sasa hivi kila mtu anajihisi ana madaraka kuliko hata uhalisia wenyewe. Rejea mtumishi wa LATRA kumtolea dereva sime.
Hivyo tukae tayari kwa amri zaidi kama hizi. Kipimo cha utumishi bora kwa sasa ni jinsi gani unaweza kubwata na kuogopeka. They have learnt from the top.
Tumefikia kipindi hata haki yako ya msingi unapewa kama msaada na kwa masimango juu.