Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Mfanyakazi atakwepaje kodi wakati inakatwa moja kwa moja kutoka kwenye mshahara wake?Taxpayer Indentification number (TIN), mfanyakazi yoyote anayelipwa mshahara na amekidhi vigezo lazima alipe PAYE (pay as you earn). TRa sasahivi wanatumia mfumo mpya wa kielectronic wa kufile ritani (E-filling) za VAT, PAYE, SDL nk.
Bila kuwa na TIN itakua ngumu kwasababu mfumo unataka uwe na TIN, na pia utambulike kama mfanyakazi halali wa taasisi husika, hakuna kukwepa kodi sahivi.