Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."
"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka kuwarubuni maafisa kwa rushwa ilipungua km siyo kukoma kabisa!"
"...ndugu yangu yule jamaa hata kama alikuwa na mapungufu lkn kwenye suala la kodi aliweza sana."
"...nowadays mm natukanwa hadi kwenye simu eti kwanini namsumbua mfanyabiashara!"
"...watu wameona ujinga bora kujipigia km zamani na mapato ya sasa ni aibu ndiyo maana unaona hawatangazi."
Afisa wa TRA.