Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

Wapiga dili wapo kazini..chief mwanamke anawakenulia meno..zen anaenda kukopa mikopo kwaajili ya zenji..walipaji watanganyika..sawa tutafika tu.

#MaendeleoHayanaChama
Kufa umfuate dikteta kichaa
 
Bila shaka wewe ni kiroboto😀😁😀
 
Mbona tunalipa mkuu?kulipa kodi siyo kwamba ni kwa ajili ya kumuogopa mtu kodi inakuwa tamu kuilipa pale panapokuwa na makubaliano sahihi bila ishara zozote za unyonyaji au ukomoaji kutoka pande zote.

Mie nimelipa awamu yangu ya mwisho mwaka huu juzi tu hapa wala sijakumbushwa na yeyote,TRA offices mkiwa na maelewano mazuri na wafanyabiashara hakuna atakayesumbua kulipa tatizo mpo baadhi yenu mkiambiwa hali halisi ya mtaani mnawaona watu ni waongo mnawalazimisha kodi kubwa mwisho wanashindwa kulipa mnawaona wakorofi.
 
Ujinga wako ufiche
 
Semams Sema hivi aliweza Kwa kuwapora wafanyabiashara, beurea de change na kuwadhulimu wafanyakazi stahiki zao ikiwa no nyoongeza na mafao ya wastaafu kitolipwa kwa wakati.
 
Wapiga dili wapo kazini..chief mwanamke anawakenulia meno..zen anaenda kukopa mikopo kwaajili ya zenji..walipaji watanganyika..sawa tutafika tu.

#MaendeleoHayanaChama
Nimekuelewa sana mkuu,
Ndio maana humo ccm watu wazima wenye uume wao wamegoma upuuzi huo, ndugai juzi kanifurahisha sana,
 
Kwa mujibu wa yule jamaa sasa hivi maafisa wa TRA wanajipigia tu rushwa kwa sababu hata wakikomaa mdau anapiga simu juu na wao wanaishia kufokewa tu
So sad, nchi inapigwa mnada hii, watu wa nchi hii ukitaka kujua kuwa ni wajinga na sio watu serious when it comes to serious issues ni kwa jinsi gani wamereact kwa kauli ya ndugai, mtu wa 4 kutoka rais anapoongea jambo zito kama hilo inspite of the powers above him, kwa watu serious wangejua sasa alarm kubwa kabisa imelia nchini,
 
Kwani aliondoka na vitendea kazi au walipaji kodi.
Shida mazoea ya kukwapua hayajaachwa.
 
Watanzania tuache unaa, wewe binafsi labda uwe umezinduka kutoka usingizini Leo utashindwa kujua kwanini haamimiki na wanaopaza sauti. Hata kwa unaloita jambo muhimu kutoka kwa mtu muhimu.
 
Hahaha, mtumishi atajwe jina na kituo,
Si itakua ndo mwisho wake kazini?!
Si aliapa Kama mtumishi kutunza siri.

Mtajeni muone. Mchezo itakua imeishia hapo
Mtaje jina na cheo chake na kituo chake cha kazi, otherwise ni uzushi tu kama ule wa Askofu Gwajima wa kuwapeleka watu wote wa jimbo la Kawe Marekani huku akipinga chanjo
 
Hahaha, mtumishi atajwe jina na kituo,
Si itakua ndo mwisho wake kazini?!
Si aliapa Kama mtumishi kutunza siri.

Mtajeni muone. Mchezo itakua imeishia hapo
Tunasubiri ahadi yetu wanakawe.
 
Kwa hiyo Tumrudishe?
 
Tulikuwa tunaogopa kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi.Buashara zetu ziliyumba na nyingi zilikufa.
 

Acheni uongo eti wanakumbilia kulipa kodi! Kama vile tumesahau watu walivyokua wana lalamika
 
Ndio kauli za mama kujipendekeza kwa wafanyabiashara eti hataki kodi za dhuluma😂😂. Nyerere aliposema ubepari ni unyama mnafikiri alikua mjinga. Kodi hata ikiwa ndogo kiasi gani dini ya biashara ni kutolipa kodi. Hasa wageni ndio wanahakikisha serikali ya mwafrika ni kuwahonga kuliko kulipa kodi. Hawahitaji serikali yenu iwe na pesa.
Magufuli alikua hana mchezo na kodi. Usipolipa kodi anakushughulikia bila huruma.
 
mamaa suzy wa magufuli, msukuma nambari wani, unatakeje suzy, magufuli alishakufa. Tulia mama mzanzibar akusute makavu laivu bila chenga.

Tulia unawishwe kwa taarabu za mwambao wa pwani, akili zikukae sawa mamaa suzy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…