fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
rahab fred pumzika kwa amaniTANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Ametangaza sana radio free kuanzia miaka ya 2000 mwanzoni kipindi cha search line, Ukimwi na jamii, taarifa za habari, mwanga bora nk.Sijawahi kumsikia ndio leo namsikia. Rest in Peace Rahabu.
Sikujua aliishiaga wapi ila nilivyoskia taarifa hizi sauti yake inazunguka akilini
Alifariki kwa ajari ya gari Kawe,DarHivi aliyekuwa mume wake Fredwaa alikufa kwa ajali?
Pole kwa watoto, wamebaki yatima.
inawezekana unajua na sababu zilizosababisha Freddy fidelis(fredua) kujigongesha na gari afe maeneo ya husika yaleRest in Peace my daughter
K inapotea mzeeSijui kwa nini vifo vya wanawake vinanihuzunisga zaidi.