TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

RIP, nakumbuka those days na kipindi cha search line kuna kile cha mambo ya ukimwi (ule original)hata sikikumbuki jina
Daah I remember those golden time RFA was a radio yaani unasikiliza radio toka sa 11 alfajili mpaka sa 4 usiku ukiondoa tu yale masaa upo shuleni
 
TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.

View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Moja ya vipaji adimu sana vilivyo ibuliwa na Sahara Media ya Mwanza! Alikuwa na sauti ya kipekee sana. Rest in peace Rahab! Umeondoka mapema sana. Mwenyezi Mungu akujalie pumziko la milele, na pole nyingi sana kwa wafiwa.
 
RIP, nakumbuka those days na kipindi cha search line kuna kile cha mambo ya ukimwi (ule original)hata sikikumbuki jina
Daah I remember those golden time RFA was a radio yaani unasikiliza radio toka sa 11 alfajili mpaka sa 4 usiku ukiondoa tu yale masaa upo shuleni
Ukimwi na Jamii kila jumamosi kuanzia saa 11:15 hadi saa 12:00. Ila sijasikiliza toka 2013.
 
TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.

View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Ndio huyu aliwahi kuwa Redio free afrika?
 
Back
Top Bottom