Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Jamani fredwaa alishafariki?Kifo hakina huruma.
Ni miaka michache tu imepita toka tumemzika aliyekuwa mumewe Fred Fidelis(Fredwaa) aliyekuwa mtangazi wa Clauds FM..
RIP mateš
Jamani fredwaa alishafariki?Kifo hakina huruma.
Ni miaka michache tu imepita toka tumemzika aliyekuwa mumewe Fred Fidelis(Fredwaa) aliyekuwa mtangazi wa Clauds FM..
RIP mateš
Yeah, amefariki miaka kadhaa nyuma kwa ajali ya gari Kawe ukoJamani fredwaa alishafariki?
Yes...nimekumbuka hilo. Hata kaka yake hakuumia popote wala kuchubuka.Ilisemwa kuwa hakupata hata mchubuko wowote, ni kama alipata mshtuko mkubwa wa moyo kuona hiyo ajali na ndio akaaga.
Ukilazwa Muhimbili, kutoka ukiwa hai ni muujiza!TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Mwaka 2021 wakati Corona inechachamaa Wengi walidhani covid kumbe ajaliJamani fredwaa alishafariki?
Bora hapo sio Mloganzila , ullkienda kutibiwa wanapewa Wanafunzi badala wakutibu wanaanza kukufanyia research, Mungu jalia niishie Hospital ndogo na binafsiUkilazwa Muhimbili, kutoka ukiwa hai ni muujiza!
Utakuwa wa 2000 weweSijawahi kumsikia ndio leo namsikia. Rest in Peace Rahabu.
Wewe ni mtoto wa juzi au ulikuwa unasikiliza zaidi redio mbao badala ya Redio hizi rasmi zinazotambulika.Sijawahi kumsikia ndio leo namsikia. Rest in Peace Rahabu.
apumzike kwa amanišæRIP classmate
2021 niliumwa na kulazwa Mloganzila, nilikuwa naumwa UTI kali na sugu, hao madkatari mnaosema wanafunzi walinihudumia vyema, daktari bingwa alipita hapo mara 2 kwa siku 3 nilizolazwa. Nilipona na mpaka leo sijaumwa tena UTI.Bora hapo sio Mloganzila , ullkienda kutibiwa wanapewa Wanafunzi badala wakutibu wanaanza kukufanyia research, Mungu jalia niishie Hospital ndogo na binafsi
Mloganzila kule zinaenda case ngumu...so kutoboa ni 50/502021 niliumwa na kulazwa Mloganzila, nilikuwa naumwa UTI kali na sugu, hao madkatari mnaosema wanafunzi walinihudumia vyema, daktari bingwa alipita hapo mara 2 kwa siku 3 nilizolazwa. Nilipona na mpaka leo sijaumwa tena UTI.
Ila waliniangalia sana mbupu na mjegeje maana mbupu zilikuwa nyekundu na moja ilivimba.
Watoto...watoto...hata wanapozidiwa na ugonjwa wanawake wanaomba msaada kuwa nisaidie kuangalia wanangu....very sadSijui kwa nini vifo vya wanawake vinanihuzunisga zaidi.
Kweli inakua 50/50 kwa kuwa Muhimbili na Mloganzila ni hopsitali za Rufaa, wanakwenda wagonjwa wenye hali mbaya ambayo imeshindwa kutibiwa kwenye hospitali za wilaya na mkoa. Chochote kinaweza kutoa.Mloganzila kule zinaenda case ngumu...so kutoboa ni 50/50