TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.

View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
RiP Shemeji......tukampumzishe nyumbani Makete....pole familia Fungo...( Joseph Fungo wa Yanga) nadhani ndio ukoo huo huo...!!
 
Kwenye picha hapo waliyopiga pamoja
Mstari wa kwanza inaonyesha wameanza kufariki kuanzia kushoto kuja kulia...
Wangapi wanakumbuka somo la picha la MshanaJR
 
Attachments

  • FB_IMG_1743939793781.jpg
    FB_IMG_1743939793781.jpg
    33.7 KB · Views: 26
TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.

View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
RIP mke mke wa fredua.
 
He! Kumbe alihamia azam media? Sijamsikia rfa kitambo sana! Huwa si mtazamaji wa azam media ndio maana nashangaa
Mkuu ww ni km mm, toka enzi zile yuko RFA ckuwai kujua yuko wapi may be inatokana na kutofuatilia mambo ya media cjui ni utu mzima au kitu gani
 
TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.

View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Rahab fungua code
 
Back
Top Bottom