Moja ya vipaji adimu sana vilivyo ibuliwa na Sahara Media ya Mwanza! Alikuwa na sauti ya kipekee sana. Rest in peace Rahab! Umeondoka mapema sana. Mwenyezi Mungu akujalie pumziko la milele, na pole nyingi sana kwa wafiwa.TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Ukimwi na Jamii kila jumamosi kuanzia saa 11:15 hadi saa 12:00. Ila sijasikiliza toka 2013.RIP, nakumbuka those days na kipindi cha search line kuna kile cha mambo ya ukimwi (ule original)hata sikikumbuki jina
Daah I remember those golden time RFA was a radio yaani unasikiliza radio toka sa 11 alfajili mpaka sa 4 usiku ukiondoa tu yale masaa upo shuleni
Ila redio free ilikuwa bonge la redio ya kusikiliza.Nimeanza kumsikia wakati redio free Africa,, Mbeya walikuwa wanakata kutoka station kuu mwanza tunaanza kusikia redio free Africa Mbeya,,, R.I P
Umezaliwa lini??Sijawahi kumsikia ndio leo namsikia. Rest in Peace Rahabu.
Kumbe alijigongesha?inawezekana unajua na sababu zilizosababisha Freddy fidelis(fredua) kujigongesha na gari afe maeneo ya husika yale
Aimeen!MUNGU MWENYEZI ampumuzishe kwa aman
Apumzike kwa amaniRahabu Fred RIP.
Monetary doctor Una lipi la kusema kuhusu huyu gwiji.
AimeenApumzike kwa amani
Kumbe alikuwa mke wa fredwaa, watoto wao wana umri gani,Aimeen
Inasikitisha mno mkuu.Duuh pole nyingi kwa watoto wao
Wapo nurseryKumbe alikuwa mke wa fredwaa, watoto wao wana umri gani,
Ndio huyu aliwahi kuwa Redio free afrika?TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
We unaujua umri wangu?Umri wa Al-mukheef au Nomadix