TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

Wapo waisilamu wengine wataijaza nafasi yake.

Pole kwa wafiwa.
 
Nimeanza kumsikia wakati redio free Africa,, Mbeya walikuwa wanakata kutoka station kuu mwanza tunaanza kusikia redio free Africa Mbeya,,, R.I P
Kweli kabisa yakisimamiwa na kiduduye
 
inawezekana unajua na sababu zilizosababisha Freddy fidelis(fredua) kujigongesha na gari afe maeneo ya husika yale
Siku ile kwenye gari alikuwa yeye na kaka yake...
Gari lilikuwa likiendeshwa na kaka yake.
Tena Baada ya ajali kaka yake aliwekwa ndani ila baadaye aliachiwa.
 
Kwanini Fredwaa alijigongesha?
Sidhani kama ni kweli, gari ilikuwa ikiendeshwa na bro wake. Tena kuna video ilitrend wakati ule mama yao akilia akidhani walifariki wanae wote wanamficha tu, kumbe kaka mtu aliwekwa ndani.
Pengine fredwaa hakuwa amevunga mkanda.
 
Nafkiri walikua wameonja kidogo...Fred na Kaka yake
Ila nowdays vifo vingi vinapata watu wa 40's tumuombe MUNGU sana...kuna vita inaendelea na naamini hatuioni...watoto wamebaki wenyewe...! MUNGU Akawe nguzo ya Chuma kwao maana yeye ndio Hupanga Kila kitu!
 
Okay
 
Sidhani kama ni kweli, gari ilikuwa ikiendeshwa na bro wake. Tena kuna video ilitrend wakati ule mama yao akilia akidhani walifariki wanae wote wanamficha tu, kumbe kaka mtu aliwekwa ndani.
Pengine fredwaa hakuwa amevunga mkanda.
Ilisemwa kuwa hakupata hata mchubuko wowote, ni kama alipata mshtuko mkubwa wa moyo kuona hiyo ajali na ndio akaaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…