TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

Ukilazwa Muhimbili, kutoka ukiwa hai ni muujiza!
 
Nna historia ya kuchekesha na rahabu. Mwaka 2006 nilikutana nae Cairo Egypt hatujuani alidondosha pochi yenye I'd na passport Mimi nikaiokota nikaipeleka ubalozini kwasababu pia unatakiwa uache phone number tulipokutana TZ alinitafuta na HIKI kisa alikiongelea RFA
 
Bora hapo sio Mloganzila , ullkienda kutibiwa wanapewa Wanafunzi badala wakutibu wanaanza kukufanyia research, Mungu jalia niishie Hospital ndogo na binafsi
2021 niliumwa na kulazwa Mloganzila, nilikuwa naumwa UTI kali na sugu, hao madkatari mnaosema wanafunzi walinihudumia vyema, daktari bingwa alipita hapo mara 2 kwa siku 3 nilizolazwa. Nilipona na mpaka leo sijaumwa tena UTI.

Ila waliniangalia sana mbupu na mjegeje maana mbupu zilikuwa nyekundu na moja ilivimba.
 
Mloganzila kule zinaenda case ngumu...so kutoboa ni 50/50
 
Mloganzila kule zinaenda case ngumu...so kutoboa ni 50/50
Kweli inakua 50/50 kwa kuwa Muhimbili na Mloganzila ni hopsitali za Rufaa, wanakwenda wagonjwa wenye hali mbaya ambayo imeshindwa kutibiwa kwenye hospitali za wilaya na mkoa. Chochote kinaweza kutoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…