RiP Shemeji......tukampumzishe nyumbani Makete....pole familia Fungo...( Joseph Fungo wa Yanga) nadhani ndio ukoo huo huo...!!TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Sauti yake inanikumbusha moments nzuri na mbaya ukweli ni miongoni wa watangazaji wachache ambao mungu aliamua kuwabariki sauti
RIP mke mke wa fredua.TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
View attachment 3294329
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Azam Media Limited inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha mpendwa wetu.
Mkuu ww ni km mm, toka enzi zile yuko RFA ckuwai kujua yuko wapi may be inatokana na kutofuatilia mambo ya media cjui ni utu mzima au kitu ganiHe! Kumbe alihamia azam media? Sijamsikia rfa kitambo sana! Huwa si mtazamaji wa azam media ndio maana nashangaa
Uhakika very smartSio sauti tu alikuwa na kipaji na pia smart.
Kumbe ni mtu wa makete?RiP Shemeji......tukampumzishe nyumbani Makete....pole familia Fungo...( Joseph Fungo wa Yanga) nadhani ndio ukoo huo huo...!!
Fungo ni wa huko mkuuKumbe ni mtu wa makete?
Rahab fungua codeTANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.