Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Wafanya kazi wa ndani wanateswa mno si tu huko Uarabuni bali nchi za Afrika ikiwemo Tanzania na hata huko Marekani.

Kwa ujumla ngozi nyeusi inadharauliwa dunia nzima.

Wanawake wanaongoza kuwatesa wafanyakazi wa kike wenzao. Mme ukiwa na utu ukaingilia kumtetea mfanyakazi waambiwa ni mchepuko wako.
 
Hawaaa wanajichanganyaaagaa na WENYE nyumbaa WENGI wanatembea Naoo

WANAWAKE wakule awajuiii kuvumilia adhabu yaa ainahioo KWAKO n kifoo
 
Ni shida tu, kungekua na ajira Afrika wala usingewaona huko. Umeshawahi kusikia Botswana na Namibia raia wao wanakua vijakazi Arabuni?
Hata hizo nchi za Botswana na Namibia, pia kuna raia wake wanafanya kazi za ndani na bado wanapata manyanyaso na malipo madogo tena kwa raia wenzao.

Hii hapa ni kwa Botswana


Hii hapa chini ni kwa Namibia
 
Siungi mkono haya yanayotokea lakini si ajabu Uzi huu watu wakatema povu sanaa kwasababu huyo dada kauliwa na mtu wa rangi nyingine lakini yule Mama wa Arusha tukachukulia poa kwakuwa ni Muafrika mwenzetu.

Unafiki sijui utatuisha lini sisi.
Yuko wapi sahivi huyo mama wa arusha? Hakuchukuliwa hatua kwan? Vipi huyo mlebanoni unahisi kachukuliwa hatua zozote?
 
But they don’t go to Arab countries
Sky, una hakika gani?

Mtu kama atafuta unafuu wa maisha na akapata nafasi ya kwenda huko kwa nini asiende?

Kama anahudumia ngozi nyeusi na manyanyaso pia ayapata, atashindwaje kumuhudmia ngozi nyeupe?

Wapo watu wanaenda hizo nchi za waarabu kufanya kazi za nyumbani na wanatoka kimaisha. Na ndio maana waona wimbi kubwa la raia toka nchi mbalimbali za Afrika wanatimkia huko, ni kwa sababu wanachokipata huko hata kama kidogo lakini hakilingani na wangechokipata kwa kufanya kazi nchini mwao.

Kuna binti mmoja yupo huko miaka tele na amejenga kwao nyumba kubwa ya block na anawasapoti mno wazazi wake kiasi kwamba wanajimwambafy kwa wengine.
 
Yuko wapi sahivi huyo mama wa arusha? Hakuchukuliwa hatua kwan? Vipi huyo mlebanoni unahisi kachukuliwa hatua zozote?


Na wewe umejuaje kama hakuchukuliwa hatu? Wewe unafikiri mahakama za huko kama za hapa kwetu rushwa kibao!! Waafrika ndio maana ha2enderei,,2nakufa mackn kwa sababu ya chuki ze2 kwa weupe.


Jitafakari upya na wenzio waliocomment apo juu.
 
Siungi mkono haya yanayotokea lakini si ajabu Uzi huu watu wakatema povu sanaa kwasababu huyo dada kauliwa na mtu wa rangi nyingine lakini yule Mama wa Arusha tukachukulia poa kwakuwa ni Muafrika mwenzetu.

Unafiki sijui utatuisha lini sisi.
Hapana mkuu yule wa Arusha Sasa hivi ananyea ndo na watu walimwaga povu la hatari so shida ya wale wenzetu akiuwawa hata amsikii hatua zozote zikichukuliwa kwa muuwaji,yaani anauliwa Kama paka tu,hapa hizi serkali za kiafrika zinatakiwa kuungana kwenye suala Kama hili hatua ziwe zinachukuliwa dhidi ya wauaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said, understood!
 
Easy man!
 
R.I.P

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…