Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wakoπŸ’žπŸ’ž

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila honestly me nasemea yale ya 1K na 2K, siyo yale makubwa kama nyumba..!!
Kabla sijalala nala nusu, kisha naweza amka zangu katikati ya usiku nikamalizia kipande changu fresh..!!
Nae ni hayo hayo ukiona limelala ujue ni kubwa zaiid na alipate jioni ila likija mapema likifikq asubuhi labda asahau πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You are 100% correct. Na siyo kuitana majina ya kishkaji tu bali ku-share mambo nyeti ya maisha. Unajua uhusiano ya mapenzi ni tofauti na urafiki. Kama ilivyo kwa ubaba/umama vs mtoto. Wazungu ndiyo huwa wanakazia sana hili jambo. Utasikia mwanamme anasema ''huyu siyo tu kuwa ni mke wangu lakini ni rafiki yangu''. Na hapa ndiko tunakokosea sisi waswahili. Unakuta mwanamke na mume/boy friend wake lakini kuna mambo mengi tu hawezi kumwambia lakini pembeni ana mashoga zake na yuko comfortable kuwaelezea. Wanaume nao unakuta wana washikaji na wana-share nao siri au mambo ambayo hawezi kuwaambia wake zao.
 
Me sicheki na kiumbe anakula deal na Nyoka Kisha kufanikisha ME tuishi kwa mateso tukiwachumia Huku tunawahi kufa.
Never.
Nikilala nae room Reticular Articulation system iko on 99% no delaying.
Sasa kwahiyo ndie mwenye hasira na mwanamke kuliko aliyemuumba sio!haya kulaπŸ‘Š
 
Nipe maelekezo ya kuandaa chai kupitia huo mdomoπŸ˜…
Chukua camomile tea..tumbukiza kwa tea flask acha kwa 5 minutes..then mimina kwa kikombe..puliza na mdomo ikipoa kidogo ukunywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…