Unageuka Shigongo mchumba ?.Ulishanaswa tukio mkuu basi tu unavunga๐๐
Napenda unavyo Dance๐๐๐๐
Mnyamwez Rama Dee mkali wa RnBKama kichwa cha habari kinavyojieleza jamanโฆ
Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuulizaโฆna mengineyo.
Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo lakini isiwe too much sasa na nyie loh๐๐..
Mara moja moja mwambie โmwamba leo tupige game jikoni wakati nakaanga vitunguu โutamu ukizidi mnajikuta vitunguu vimeungua au vimafuta vimewarukia kidogo๐๐mnaungua,au mwambie babe twende tukapige game mpakani mwa Ukraine na Russia pembezoni mwa bomu la nyuklia.
Basi tu ilimradi usumbufu Woi๐๐
Chezeni karata,fanyeni evening walk pamoja,tubuaneni kidogo lakini hakikisha jua halijazama kisirani kimeisha๐๐
Haya msichukulie maisha siriazi sasa na nyie๐
Kuna kuwaga na maisha halafu na muda wa mapenzi๐.nafikiri Niko kwenye mapenzi wakati huu sitaki kugombezwa๐๐๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ
View: https://youtu.be/XhVwmbdIDhg?si=25XiVyiSLFMYZs98
Mkuu itoshe kusema utakuwa umekaa karibu na wazungu kwa kipindi fulani๐๐maana ni wachache wataelewa nguvu ya urafiki ndani ya mapenzi๐ฅฐ๐ฅฐYou are 100% correct. Na siyo kuitana majina ya kishkaji tu bali ku-share mambo nyeti ya maisha. Unajua uhusiano ya mapenzi ni tofauti na urafiki. Kama ilivyo kwa ubaba/umama vs mtoto. Wazungu ndiyo huwa wanakazia sana hili jambo. Utasikia mwanamme anasema ''huyu siyo tu kuwa ni mke wangu lakini ni rafiki yangu''. Na hapa ndiko tunakokosea sisi waswahili. Unakuta mwanamke na mume/boy friend wake lakini kuna mambo mengi tu hawezi kumwambia lakini pembeni ana mashoga zake na yuko comfortable kuwaelezea. Wanaume nao unakuta wana washikaji na wana-share nao siri au mambo ambayo hawezi kuwaambia wake zao.
๐Chukua camomile tea..tumbukiza kwa tea flask acha kwa 5 minutes..then mimina kwa kikombe..puliza na mdomo ikipoa kidogo ukunywe
Na Siku hiyo sita itakuwa tisa.Sasa shigongo katokea wapi jamani si tulikubalia ni uzi wa mapenzi๐๐
Utanasika siku moja nakwambia
Nakutwangiaaaa๐๐๐
๐๐๐
Naona Kama unachekea chooni ukiomba kwa nguvu yanikute.Jipe moyooo utayashindaaaa yana mwishooo๐๐nimejaribu kuimba kidogo wimbo wa Florah Mbasha๐๐
Nisipokuambia wewe na kukusifia wewe ,nimwambie na kumsifu nani sasa?Weeee usiniambie๐๐
Wewe next levelKantri hii tabia siipendi ya kunipa utajiri nisiokua nao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au unatengeneza mazingira nisikuombe afu tatu? [emoji12]
Wewe next level
Afu tatu yote hiyo, unakula buku tu unatulia[emoji23]
[emoji23]Buku tena?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]