Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman…

Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo.

Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo lakini isiwe too much sasa na nyie loh😁😁..

Mara moja moja mwambie “mwamba leo tupige game jikoni wakati nakaanga vitunguu “utamu ukizidi mnajikuta vitunguu vimeungua au vimafuta vimewarukia kidogo😆😆mnaungua,au mwambie babe twende tukapige game mpakani mwa Ukraine na Russia pembezoni mwa bomu la nyuklia.
Basi tu ilimradi usumbufu Woi😁😁
Chezeni karata,fanyeni evening walk pamoja,tubuaneni kidogo lakini hakikisha jua halijazama kisirani kimeisha😆😆

Haya msichukulie maisha siriazi sasa na nyie😁
Kuna kuwaga na maisha halafu na muda wa mapenzi💞.nafikiri Niko kwenye mapenzi wakati huu sitaki kugombezwa😁😁🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️



View: https://youtu.be/XhVwmbdIDhg?si=25XiVyiSLFMYZs98

Mnyamwez Rama Dee mkali wa RnB
 
You are 100% correct. Na siyo kuitana majina ya kishkaji tu bali ku-share mambo nyeti ya maisha. Unajua uhusiano ya mapenzi ni tofauti na urafiki. Kama ilivyo kwa ubaba/umama vs mtoto. Wazungu ndiyo huwa wanakazia sana hili jambo. Utasikia mwanamme anasema ''huyu siyo tu kuwa ni mke wangu lakini ni rafiki yangu''. Na hapa ndiko tunakokosea sisi waswahili. Unakuta mwanamke na mume/boy friend wake lakini kuna mambo mengi tu hawezi kumwambia lakini pembeni ana mashoga zake na yuko comfortable kuwaelezea. Wanaume nao unakuta wana washikaji na wana-share nao siri au mambo ambayo hawezi kuwaambia wake zao.
Mkuu itoshe kusema utakuwa umekaa karibu na wazungu kwa kipindi fulani👊👊maana ni wachache wataelewa nguvu ya urafiki ndani ya mapenzi🥰🥰
 
Kantri hii tabia siipendi ya kunipa utajiri nisiokua nao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au unatengeneza mazingira nisikuombe afu tatu? [emoji12]
Wewe next level

Afu tatu yote hiyo, unakula buku tu unatulia[emoji23]
 
Back
Top Bottom