"Mficha Uchi hazai". Nimeamua kuja kupasua jipu

"Mficha Uchi hazai". Nimeamua kuja kupasua jipu

Everyone has their choice.just respect mine. Heshima ni kitu cha bure sana kwa wanawake wenye ufaham.wewe watumie hao uliowataja kwa nini unipangie maisha mama?
Nani alikuambia heshima ni kitu cha bure, heshima ina gharama. Ukiona mtu anaitwa muheshimiwa ujue upepo umemtoka kweli kweli, ukiona unaitwa majina mazuri ujue umetolewa upope
 
Back
Top Bottom