MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

I have been in financial industry for more than 5 years now.

Ponzi scheme are everywhere, beware!!!
 
Mbona unawashtua. Ungekaa kimya. Wakishapigwa mpaka mawaziri tutajua tu. Next time uwaache mpaka wapigwe kitu kizito
 
Hawa jamaa wa upatu
Kuna MDA nahisi wanatumia ushirikina
Maana wateja wao Wana vichwa vigumu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale huwa wanaajiri motivational speakers wasomi so huwa wanawalewesha wateja kwa maneno matamu,kwanza wanaanza kwa kukupa jazba ya kuuchukia umaskini na kuutamani utajiri baada ya hapo kila anayekushauri unamchukia na kumuona maskini.
 
Na huyu Mr kuku alizuiliwa na serikali sasa ilikuwaje akaruhusiwa tena aendelee
 
Itakuwa kweli,Kuna jamaa angu nimemsikia Leo analalamika kuwa anashindwa kutoa Hela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa hawashauriki hadi waone matokeo ya mwisho kwa macho yao
 


Wadau msiongee sana, niko njina kuja na hii kitu.

Nimegundua, biashara hii ya kukusanya pesa toka kwa wasio na shida nazo inalipa sana.
WNW=WAJINGA NDIO WALIWAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…