MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

I have been in financial industry for more than 5 years now.

Ponzi scheme are everywhere, beware!!!
 
IMG_8349.jpeg

Nasikia makelele mtaani vipi tayari kimejibu ? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kudaaaaaaaaaadeki
 
Mbona unawashtua. Ungekaa kimya. Wakishapigwa mpaka mawaziri tutajua tu. Next time uwaache mpaka wapigwe kitu kizito
 
Hawa jamaa wa upatu
Kuna MDA nahisi wanatumia ushirikina
Maana wateja wao Wana vichwa vigumu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale huwa wanaajiri motivational speakers wasomi so huwa wanawalewesha wateja kwa maneno matamu,kwanza wanaanza kwa kukupa jazba ya kuuchukia umaskini na kuutamani utajiri baada ya hapo kila anayekushauri unamchukia na kumuona maskini.
 
Mkuu wajinga hawaishi hata siku moja hata kila siku kuwe na vipindi kwenye radio/TVs zote wakitoa elimu kuhusu utapeli wa ponzi scheme.....Ponzi scheme ilianza kushika chati around 2006 au 7 Faidika Investiment wakapiga pesa wakasepa ,wakaja kina deci ,wakaja qnet,wakaja wauza alovera etc hao wote wanawapiga watu na wanaendelea kuwapiga ,kaja mr kuku kawapiga mabilioni watu wakasanuka ,amekuja na idea nyingine mr kuku anawapiga tena watu.
Na huyu Mr kuku alizuiliwa na serikali sasa ilikuwaje akaruhusiwa tena aendelee
 
Itakuwa kweli,Kuna jamaa angu nimemsikia Leo analalamika kuwa anashindwa kutoa Hela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa hawashauriki hadi waone matokeo ya mwisho kwa macho yao
 
Capture.PNG


Wadau msiongee sana, niko njina kuja na hii kitu.

Nimegundua, biashara hii ya kukusanya pesa toka kwa wasio na shida nazo inalipa sana.
WNW=WAJINGA NDIO WALIWAO.
 
Back
Top Bottom