MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

Uzuri haya maplatform huwa ya akufa ...

Ila kwa vile Tanzania unawatu wajinga harafu wabishi , hakuna namna nyingine wataendea kupigwa tu ....
 
Uzuri haya maplatform huwa ya akufa ...

Ila kwa vile Tanzania unawatu wajinga harafu wabishi , hakuna namna nyingine wataendea kupigwa tu ....
Mimi kuna mtu alinishawishi akafika muda akataka hata afungue akaunti aniwekee dola 100. Mimi nikafanya background check nikaona hii ni ponze scheme.
Kwanza walikuwa wanasisitiza kuwa wamesajiliwa Canada, kitendo cha kurudia rudia neno Canada kila mara basi kilikuwa kinaonyesha matapeli.
Halafu wazungu ndio wanajua sana uwekezaji, iweje wasichukue life saving wakaziweka wakawa wanavuta 2% kila siku wakati wanawekeza sehemu wanavuta below that.
Pili nilipofuatilia nikagundua members wengi ni wa Asia tena nchi ambazo zinafanana nasi kama sri lanka na ufilipino, afrika ni naijeria na sie akina tz.
Nikatoka hapo nikaona haea watuw amekaa ki pyramud scheme pia maana msisitizo wao ni wewe kuingiza watu. Sijawahi kutana na fx platform ambayo ilikuwa na mfumo kama huu.
Nikajua hawa wapigaji. Ila sasa kumchomoa jamaa yangu nilishindwa maana alikuwa kaweka mpunga anavuta 25000 kila sku akawa anataka weka kiasi zaidi awe anavuna 800k kila sku sasa sina hakika kama aliweka au hakuweka na kama aliweka atakuwa ameweka like 3 weeks ago
 
Mkuu wenzako wako field wanajifunza kwa vitendo. Baada ya muda ndo watajua yasemwayo yapo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawaliwaza ili wapate muda wa kutosha wa kuzihamisha pesa zote bila makelele
Dah jamaa zangu wamelala mchana huu wamepigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] juzi wamekaa wanasemeshana kumbe kipigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wa upatu
Kuna MDA nahisi wanatumia ushirikina
Maana wateja wao Wana vichwa vigumu sana
Hakuna Ushirikina mkuu. Ukiwa na Tamaa za kijinga na kuingia katika Get Rich quick schemes ni rahisi Sana kutapeliwa. Kama kumsukuma mlevi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…