Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
[emoji3][emoji3][emoji3]MIMI TOKA NIPIGWE NA DECI..HUNIAMBII TENA HAYA MADUDU YAO.NITAFANYA BIASHARA HALALI TU NA SIO HUU UJINGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]MIMI TOKA NIPIGWE NA DECI..HUNIAMBII TENA HAYA MADUDU YAO.NITAFANYA BIASHARA HALALI TU NA SIO HUU UJINGA
Mimi kuna mtu alinishawishi akafika muda akataka hata afungue akaunti aniwekee dola 100. Mimi nikafanya background check nikaona hii ni ponze scheme.Uzuri haya maplatform huwa ya akufa ...
Ila kwa vile Tanzania unawatu wajinga harafu wabishi , hakuna namna nyingine wataendea kupigwa tu ....
Mkuu wenzako wako field wanajifunza kwa vitendo. Baada ya muda ndo watajua yasemwayo yapo?VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao pia.
Hivi karibuni pameibuka Ponzi Scheme inayoitwa MFTE ambayo inajinasibu kuendesha biashara ya Forex Trading.
Mwanzoni ilikua inaitwa HTfox na sasa inaitwa MTFE unaweza tizama link ya maelezo zaidi hapa
Fraud company HTfox which is now known as MTFE | Consumer Complaints Court
Niliwahi kuandika hapa kuhusu QNET lakini watanzania sisi sijui nani anatuloga.
Haya endeleeni kuwekeza tunawangoja mje hapa mkilia
Dah jamaa zangu wamelala mchana huu wamepigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] juzi wamekaa wanasemeshana kumbe kipigo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawaliwaza ili wapate muda wa kutosha wa kuzihamisha pesa zote bila makelele
Hakuna Ushirikina mkuu. Ukiwa na Tamaa za kijinga na kuingia katika Get Rich quick schemes ni rahisi Sana kutapeliwa. Kama kumsukuma mlevi.Hawa jamaa wa upatu
Kuna MDA nahisi wanatumia ushirikina
Maana wateja wao Wana vichwa vigumu sana