Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SawaMfumo imara hautaki watu wavivu kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMfumo imara hautaki watu wavivu kama wewe
Mfumo imara hautaki watu wavivu kama wewe
ni nani anaweza kwenda kinyume na mtawala hapa tz? Ikiwa yupo katika nafasi ya kuteuliwa? Nadhan wewe ndio huelewi kitu,tunajifunza kuptia maandiko mbalimbali ya nchi zenye mifumo imara na nin kilipelekea hivyo.Moja ya sababu kuu ni ujasiri na uimara wa wananchi wao katika kutenda,kufuatilia,kujiamini juu ya jambo lolote linalo husu nchi yao
Wanaopewa dhamana ghafula wanakuwa manyumbu.Unyumbu ni huruka ya mnyama kujitoa ufahamu kwasababu ya hofu ama uoga (an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear,'amygdala' in this case fearing their leaders or self-Absorbed group) , swali fikirishi hivi wale walio okotwa majalalani hatujifunzi toka kwao,wanauwezo mzuri sana wa kujenga hoja za kusafisha ubongo wa watu wasiojielewa wanajenga jamii mfu, 'brainwashing'Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao?
Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au kuminywa hujua hatua stahiki inayopaswa kuchukuliwa.
JE, TUNAO HAO WATU?
Mfumo imara sheria zake hazipo kulinda sana viongozi ILA kulinda nchi na ukumbuke wanaopitisha hizo sheria ni hao hao viongozi.
JE TUNAO VIONGOZI AMBAO WAKO TAYARI KWA LOLOTE DHIDI YAO WANAPOKIUKA/VUNJA SHERIA ZA NCHI.?
mfumo imara huwaondoa watumishi wengi wavivu,wasiozalisha au wenye magonjwa ya muda mrefu(mfano kwa muda wa miaka mitatu na kuendelea katika utumishi) je watumishi wa serikali wako tayari kwa hilo?
mfumo imara hupelekea kuawawa kwa viongozi na watu wenye ushawishi pale maslahi ya nchi yanapokuwa na tishio dhidi yao.
JE, HAWA WATU WAKO TAYARI?
Mfumo imara hupelekea vitu kufanyika kwa uangalizi wa karibu sana (na hapa watendaji wengi wa serikali huwa hawapendi kufuatiliwa utendaji wao wa kila siku na chuki huanzia hapa, japo hao hao ndio wanaolilia mifumo imara..?)
Mfumo imara uruhusu vyombo vya habari kuwa huru na kuruhusu habari za kiuchunguzi kufanyika taasisi za kiserkali na kibinafsi na kuwalinda waandishi hao isipokuwa zile habari tu ambazo zinaweza kuwa ni tishio kwa nchi kuwekwa kwa umma japo pia huwanyiwa kazi na vyombo husika.
JE TAASISI GANI IKO TAYARI IKIWA TUNAJUA MADUDU YAO KILA SIKU JAPO YANAFICHWA..hapa kila mwaka viongozi watakuwa wanabadilika kwenye hizo taasisi na mtaanza kulaumu mamlaka za uteuzi.
NB. mifumo imara ni ngumu sana kwa nchi za Kiafrika,Asia na baadhi ya nchi za Amerika kusini.
Zote hugemea kiongozi mkuu anatakaje kuondesha nchi basi waliobakia wote hufuata mwelekeo wake.
Akiwa mzuri nchi itastawi ila akiwa mbovu nchi huzama shimoni.
Uliongea vitu vikubwa sana ila comment nyingi hazikuulewa..Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao?
Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au kuminywa hujua hatua stahiki inayopaswa kuchukuliwa.
JE, TUNAO HAO WATU?
Mfumo imara sheria zake hazipo kulinda sana viongozi ILA kulinda nchi na ukumbuke wanaopitisha hizo sheria ni hao hao viongozi.
JE TUNAO VIONGOZI AMBAO WAKO TAYARI KWA LOLOTE DHIDI YAO WANAPOKIUKA/VUNJA SHERIA ZA NCHI.?
mfumo imara huwaondoa watumishi wengi wavivu,wasiozalisha au wenye magonjwa ya muda mrefu(mfano kwa muda wa miaka mitatu na kuendelea katika utumishi) je watumishi wa serikali wako tayari kwa hilo?
mfumo imara hupelekea kuawawa kwa viongozi na watu wenye ushawishi pale maslahi ya nchi yanapokuwa na tishio dhidi yao.
JE, HAWA WATU WAKO TAYARI?
Mfumo imara hupelekea vitu kufanyika kwa uangalizi wa karibu sana (na hapa watendaji wengi wa serikali huwa hawapendi kufuatiliwa utendaji wao wa kila siku na chuki huanzia hapa, japo hao hao ndio wanaolilia mifumo imara..?)
Mfumo imara uruhusu vyombo vya habari kuwa huru na kuruhusu habari za kiuchunguzi kufanyika taasisi za kiserkali na kibinafsi na kuwalinda waandishi hao isipokuwa zile habari tu ambazo zinaweza kuwa ni tishio kwa nchi kuwekwa kwa umma japo pia huwanyiwa kazi na vyombo husika.
JE TAASISI GANI IKO TAYARI IKIWA TUNAJUA MADUDU YAO KILA SIKU JAPO YANAFICHWA..hapa kila mwaka viongozi watakuwa wanabadilika kwenye hizo taasisi na mtaanza kulaumu mamlaka za uteuzi.
NB. mifumo imara ni ngumu sana kwa nchi za Kiafrika,Asia na baadhi ya nchi za Amerika kusini.
Zote hugemea kiongozi mkuu anatakaje kuondesha nchi basi waliobakia wote hufuata mwelekeo wake.
Akiwa mzuri nchi itastawi ila akiwa mbovu nchi huzama shimoni.
Neno kubwa ulinena hapaTUNAO HAO WATU WA KUSIMAMIA HUO MFUMO UWE IMARA? kumbuka mfumo imara ni kanuni na taratibu tulizojiwekea(KANUNI NA SHERIA ZENYE KUANGALIA MASLAHI YA NCHI TU) na ni zipo tatizo zinasimamiwa na KINA NANI? je bunge likifanya kazi vile ilivyoanishwa kikatiba je huoni kwamba uimara wa bunge utakuwepo na umeelezwa kikatiba?mahakama nayo? hata Dola nayo ni hivyo hivyo majukumu yao kikatiba yako wazi na yakitelezwa ipasavyo utapata serikali imara......TATIZO KUU SIO MFUMO IMARA SABABU UPO ILA WATU IMARA WA KUSIMAMIA MFUMO HATUNA TANZANIA,ZAIDI TUNA WAVIVU,WALAFI, WAONGO ,WALALAMISHI NA WAOGA NDIO TUNAO.......MFUMO IMARA HAUSIMAMIWI NA MALAIKA ILA UNASIMAMIWA NA WATU MAJASIRI,WACHAPAKAZI NA WALIOWEKA MASLAHI MBELE YA TAIFA LAO.
Kwa ripoti ya CAG na mauza uza ya Dkt tulia utajionea namna ilivyongumu kwa hizi nchi zetu kuwa na mifumo imara...kilichopo ni kulindana na kila mtu kupiga fedha za umma pale anapopata nafasiMfumo imara unaweza kujengwa na watu waadilifu tu! Ubaya ni kwamba kuna kundi flani la raia ambao wao wanachoangalia ni maslahi yao tu kwanza! Maswala ya kuleta mifumo ambayo inaningilia ratiba zao za upigaji ndio hasa kilichofanya hayati Magufuli kuwa mwiba mkali kwao na kuchukiwa!
Watu wanataka siasa za kulindana zile ila sio mambo ya kuwajibishana! Waumie daraja la chini ila sio wale Top class ambao wameshikilia madaraka. Watu wakwapue mabilioni washindane kusimamisha mahotel mjini ila nyie makapuku mupige kelele tu na mkaushe wao yao yanaenda!
Sasa ndio maana anahitajika raisi ambaye ni kauzu kuliko Magufuli.Kwa ripoti ya CAG na mauza uza ya Dkt tulia utajionea namna ilivyongumu kwa hizi nchi zetu kuwa na mifumo imara...kilichopo ni kulindana na kila mtu kupiga fedha za umma pale anapopata nafasi
Huo ndio ukweli na ukiona kiongozi anaogopa jua nae ni mnufaika mkuu wa mfumo uliopoSasa ndio maana anahitajika raisi ambaye ni kauzu kuliko Magufuli.
Wakifyekwa kuanzia kwenye shina basi shughuli itakuwa imeisha. Na kufyekwa kwenyewe ni kwa kusimika sheria ngumu kiasi kwamba mtu kabla hajafanya upumbavu anajifikiria mara 2.
Raisi awe imara tu na mahakama na bunge zifanye kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na raisi. Hayo yanawezekana kama katiba itakuwa customized.
Kunakuwa na chombo ambacho kiko tied na funded na wananchi ili kuhakikisha hio mifumo na katiba haziwi compromised na yeyote na kama itatokea basi kinavunjwa na kuundwa kipya chenye watu wengine wapya huku walioharibu wakielekea moja kwa moja jela.
Eeh viongozi wanaogopa kutumbua wahalifu kuna kila sababu ya kuwafikiria kuwa wanatumika katika kufanikisha uhalifu huoHuo ndio ukweli na ukiona kiongozi anaogopa jua nae ni mnufaika mkuu wa mfumo uliopo
Nimeipenda hiiMfumo imara sheria zake hazipo kulinda sana viongozi ILA kulinda nchi na ukumbuke wanaopitisha hizo sheria ni hao hao viongozi
Hatuna labda kizazi kijachoTusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao?
Zimejaa maiti kisemeo cha jomo kenyataMfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au kuminywa hujua hatua stahiki inayopaswa kuchukuliwa.
Doohmfumo imara hupelekea kuawawa kwa viongozi na watu wenye ushawishi pale maslahi ya nchi yanapokuwa na tishio dhidi yao.
Subiri arudi yesu kwa nchi labdaMfumo imara uruhusu vyombo vya habari kuwa huru na kuruhusu habari za kiuchunguzi kufanyika taasisi za kiserkali na kibinafsi na kuwalinda waandishi hao isipokuwa zile habari tu ambazo zinaweza kuwa ni tishio kwa nchi kuwekwa kwa umma japo pia huwanyiwa kazi na vyombo husika.
Mfumu imara huanza na wewe katika taasisi unayoifanyia kazi...je unafuata sheria katika kitengo ulichopo? Na km haufuati na hauwajibishwi kuna haja ya kuwa na sheria,kanuni na miongozo?Kama ntakuwa nimemuelewa, anasema hivi mfumo si chochote Bali mtu ndo kila kitu, so tz bila mwendakuzimu mambo hayaendi, kama tunataka yaende, basi samia aachie ngazi kijiti akamate sabaya au makonda, au kikosi kazi cha kuteka na kuua.