KERO Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mifumo ndiyo mianya ya upigaji katika ofisi nyingi za umma, ofisi za brela zenyewe zinavutia rushwa ni ofisi za hovyo kimazingira majengo ni ya ajabu sembuse tatizo la technology?
 
Hawa jamaa si wapo humu ngoja waje wakupe muongozo/msaada

Ova
BRELA
 
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.

Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.

Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo bado Mfanyabiashara hutaki kukwepa lakini unakwamishwa sasa mnatuchochea tufanye biashara bila kuwa na vibali na sio kama hatuwezi.

Tunaweza vizuri maana nyie mpo mnakuna vitambi tu maofisini nimekwazika sana nikiwa kama Mkurugenzi na mwanzilishi wa kampuni.
Niambie kama serikalini kuna mfumo madhubuti, yote ya hovyo tu. Ndio maana wale jamaa wa Arusha waliweza kujitengenezea control number fake za malipo
 
BRELA inatoa huduma kwa MTanzania au kwa wanaojua kusoma na kuandika tu? Kwa hiyo Watanzania ambao hatuna elimu kubwa hatuna haki ya kuhudumiwa na BRELA?

Labda kuna sehemu nimepitwa Nieleweshe ndugu Msomi
Kwanza umekosea nini Kwenye uwakilishi wako wa hoja? sijaona kosa lako la kiuandishi kabisa, anakusakama tu kisa umejitambulisha kama mkurugenzi ndiyo taifa letu la kisasa vijana wamekengeuka hawana ajira wana makasiriko tu yasio na tija na ndiyo wasomi waliokaa benchi, wakiona mtu unajipambania hivi wivu na husda zinawaingia utafikiri wewe ndiyo umemkosesha ajira kumbe ni akili yake tu kashindwa kuitumia kutambua fursa zinazomzunguka kujiendeleza.
 
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.

Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.

Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo bado Mfanyabiashara hutaki kukwepa lakini unakwamishwa sasa mnatuchochea tufanye biashara bila kuwa na vibali na sio kama hatuwezi.

Tunaweza vizuri maana nyie mpo mnakuna vitambi tu maofisini nimekwazika sana nikiwa kama Mkurugenzi na mwanzilishi wa kampuni.

Hakuna kipindi ambacho usajili wa biashara umekua rahis kupita wakati mwingine wowote kama sasa.
Hata mifumo yao ni rafiki, hata kwa ambaye asiye na utaalamu wa IT na Computer.

Wanao husika na kodi,(makodi) ni TRA, sio brela.
Kuna maarifa flani umekosa, ebu yatafute kwanza
 
Sijasema kwamba hajasoma. Nimesema hajui kuandika kwa ufasaha.

Na wewe pia hujui kusoma kwa ufasaha pia.
Basi mtoa mada anaposema Brela kuna shida yuko sahihi sana kwasababu wale Brela wanahudumia jamii yenye watu kaliba zote wasomi na wasiosoma
Kwahiyo wanapopata mteja asiyeweza kujieleza vizuri ni jukumu lao wao watoa huduma kufahamu hoja yake na kuifanyia kazi na siyo kudeal na madhaifu ya mteja na kutompatia huduma
Wewe unachosema ni kwamba anayekwenda Brela kama hawezi kujieleza vizuri ni sahihi kutokupatiwa huduma
Unadhani uko sahihi?
Usisahau Uandishi ni taaluma pia siyo kila mtu anaweza

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.

Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.

Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo bado Mfanyabiashara hutaki kukwepa lakini unakwamishwa sasa mnatuchochea tufanye biashara bila kuwa na vibali na sio kama hatuwezi.

Tunaweza vizuri maana nyie mpo mnakuna vitambi tu maofisini nimekwazika sana nikiwa kama Mkurugenzi na mwanzilishi wa kampuni.
Uko sahihi asilimia zote ..Ni kero sana sijui hao watu wa TEHAMA hawalioni hilo...
 
Tunaweza vizuri maana nyie mpo mnakuna vitambi tu maofisini nimekwazika sana nikiwa kama Mkurugenzi na mwanzilishi wa kam

Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.

Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali.

Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo bado Mfanyabiashara hutaki kukwepa lakini unakwamishwa sasa mnatuchochea tufanye biashara bila kuwa na vibali na sio kama hatuwezi.

Tunaweza vizuri maana nyie mpo mnakuna vitambi tu maofisini nimekwazika sana nikiwa kama Mkurugenzi na mwanzilishi wa kampuni.
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba namba ya ombi lako pamoja na changamoto uliyokutana nayo katika kutumia huduma zetu kwa njia ya mtandao kwaajili ya msaada zaidi.
 
User experience ni Uzoefu anaopata mtumiaji pindi anapotumia mfumo, inajumuisha malengo na matarajio ya mtumiaji.

Tatizo langu kubwa nilitengeneza account nika proceed wakanipa baadhi ya document nika sign wakati nataka kupakia document kwenye mfumo nikatakiwa kulogin(huwa na save password) by mistake nikawa nimclick forget password aisee!!!

Hapo ndio matatizo yalipoanzia wanasema wametuma details za kureset password katika email? Lakini hamna kitu masaa zaidi ya 10 sasa nasubiria email yao nikijaribu kulogin kwa password yangu ya zamani inanikatalia
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba tutumie barua pepe uliyotumia kutengeneza akaunti yako pamoja na jina la mtumiaji (user name) kupitia INBOX kwaajili ya msaada zaidi.
 
Hivyo vitaasisi uchwara vya serekale vina sheria za kipuuzi sana ambazo zinasababisha hii nchi kukosa maendeleo sababu ya ukanjanja na ujinga ujinga + Rushwa na ma kodi ya kumkomoa mwananchi badala ya kumkwamua!
Habari, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo katika kutumia huduma zetu kwaajili ya msaada zaidi.
 
Uko sahihi asilimia zote ..Ni kero sana sijui hao watu wa TEHAMA hawalioni hilo...
Habari, pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba kufahamu hatua ambayo umefika na kukutumia na changamoto katika kutumia mfumo wetu wa usajili mtandaoni kwaajili ya msaada zaidi.
 
Imagine hata Jamii Forums hawapo...mwenye namba za Godfrey Nyaisa Mkurugenzi wa Brela amfikishie ujumbe vijana wake kazi imewashinda
Habari, karibu katika akaunti yetu ya BRELA kwa upande wa JamiiForums kwaajili ya kuuliza maswali mbalimbali na kufahamu huduma zitolewazo na BRELA.
 
Dungeon Brother mimi naona Brela wamejitahidi sana ni namna tu ya uzoefu wa kutumia huo mfumo, Kama kuna sehemu umekwama nipigie nikusaidie mimi ndio kazi zangu zinazoniweka mjini.
 
Wa

Watu wengi hawajui kuutumia mfumo wa Brela vyema. Halafu haya masuala yana utaalam wake shida ya watanzania hatupendi kutumia wataalam tunapenda sana kutotumia wataalam. Mtu kazu ngumu kama kuuza hisa anataka aifanye mwenyewe ikichukua miezi miwili analaum Brela
 
Habari, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo katika kutumia huduma zetu kwaajili ya msaada zaidi.
Ahaaa BRELA mmefika huku hongera maana tulikua hatuna pa kutoa malalamiko kiasi kwamba muda mwingine kama binadamu wenye kushindwa uvumilivu tunatoa lugha ngumu kidogo,
Kiufupi angalieni matatizo ya wananchi na myapatie ufumbuzi ndani ya muda muafaka!

#Tanzania kwanza!
 
BRELA watu Wazuri sana ndugu Yangu
 
Back
Top Bottom