Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu.
Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili