DOKEZO Mfumo wa NEST ni jipu

DOKEZO Mfumo wa NEST ni jipu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni tenderer kwenye mfumo wa NEST ambao mwanzoni ulikua mzuri kabisa.

Na kama kijana nilihamasika kucomply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali. Ni fani ya Ushauri Mazingira. Lakini kwa sasa pamekua pagumu sana. Hakuna kazi na kazi ikitangazwa anatafutwa mtu. Then huyo mtu anatafta wa kumsindikiza. Kwa maana ya kwamba wanakua invited kwa hyo wengine hata kama wana uwezo hamuwezi kuiona. Wataiona wale tu waliokuwa invited wewe utaiona ishakua opened na unakuta mtu mmoja ndo kaapply.

Fuatilia tender nyingi za Consultancy kiukweli zinakatisha tamaa. Lakini pia, kuna watu wanachukua kazi na hawana vigezo mfano kampuni inatakiwa iwe registered NEMC na pia iwe na practicing license.

NEST haiwezi kuitambua kwamba hyo kampuni iko valid wanatoa tu kazi. Inakatisha tamaa hasa kwa makampuni ambayo yanacomply na kusubiri kufanya kazi kwa weledi.

Asante.
 
Back
Top Bottom