KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

KERO Mfumo wa NSSF kupitia App yako mbona haufanyi kazi??

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni muda mrefu sasa, hii app ya NSSF haifanyi kazi lakini hela inapoingia unaingia ujumbe ukitaka kuingia kwenye App hiyo ili kuona Balance.
Swali langu?
1. Je hiyo App imefungwa?
2. Na kama imefungwa kuna taarifa waliyotoa?

Screenshot_20260401_114642.jpg
 
Back
Top Bottom