Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

Kwa vyuo vyenye competition kubwa dakika 5 nyingi sana aiseeee. Huwezi kuelewa Hilo
Nikweli na elewa capacity ndo waongeze shuke now ni nying kwanini walimit capacity wana shuke za kata zimeongezeka wu wao TCU hawajui?
 
Pole sana. Jaribu chuo kingine. Ulifanya application ya program husiyoitaka!?
Nimechangua ninayo itaka na nimechaguliwa lakini wanasema baada ya masaa kadhaa capacity fulk tunatokea vijijini TCu hawajui shuke zimeongezea vyuo navyo wanasema hawana cha kutusaidia wamekua limited ni swala la TCU
 
Si kila chuo ulichoomba ulikipenda lakini!
Hatukatai sasa kama nimkubwa ndo atupangie pa kwenda? Mie nimechanguliwa chuo fuali aache niwe na uhuru wa confermation asiingilie uhuru wangu

Nimechangua ninayo itaka na nimechaguliwa lakini wanasema baada ya masaa kadhaa capacity fulk tunatokea vijijini TCu hawajui shuke zimeongezea vyuo navyo wanasema hawana cha kutusaidia wamekua limited ni swala la TCU
Nadhan kuna shida kwenye mifumo yao hawa jamaa. Inakuwaje wanakuchagua alaf wanakwambia "capacity full" ebu jaribu kuwatafuta pia.
 
Nikweli na elewa capacity ndo waongeze shuke now ni nying kwanini walimit capacity wana shuke za kata zimeongezeka wu wao TCU hawajui?
Wanataka wapunguze rundo la graduates mtaani 😂, kuna baadhi ya program zina watu kibao sana mtaani. Hili swala kama watunga sera, na watekelezaji wasipotuliza vichwa watatengeneza tatizo baadala ya kutatua tatizo.
 
Hatukatai sasa kama nimkubwa ndo atupangie pa kwenda? Mie nimechanguliwa chuo fuali aache niwe na uhuru wa confermation asiingilie uhuru wangu
Pole mkuu Ukishapewa mama wa kukuzaa maisha hayatakaa ya kupe tena unachotaka...
 
Hatukatai sasa kama nimkubwa ndo atupangie pa kwenda? Mie nimechanguliwa chuo fuali aache niwe na uhuru wa confermation asiingilie uhuru wangu
Sasa uta confirm vipi na nafasi zimejaa. Na wao hawawezi kudaili
Nikweli na elewa capacity ndo waongeze shuke now ni nying kwanini walimit capacity wana shuke za kata zimeongezeka wu wao TCU hawajui
sasa kuongeza capacity inaanzia mbali. Tokea kwa kuwepo kwa walimu wakutosha, miundombinu rafiki na ndio mana wanaweka limit ya wanafunzi kwenye Kila course
 
Ww achana na kusoma tu huelewi sasa mtu ushaambiwa nafasi zimejaa ww unataka iforce uchaguliwe ivo ivo ilo darasa si litakuwa na wanafunzi elfu 5 kama kila aliyechagua bhas achaguliwe tu bila limit
 
Kosa la TCU liko wapi, kwa mtu kuomba vyuo zaidi ya kimoja na kozi zake akakubaliwa na vyuo husika ?

Ukipata bahati ya kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja, kati ya ulivyoomba ni lazima uchague chuo kimoja !

Kimsingi, chuo kikuu kinampa mtu kozi mojawapo ya alizoomba; kwa kuzingatia sifa za ufaulu wa elimu yake ya sekondari au diploma anastahili kozi ipi, bila kusahau ushindani wao waombaji wa kozi husika nk.
 
Hujampata vizur alichomaanisha,yaani ukishakubaliwa na vyuo tuseme udsm na udom inabidi uchague kimoja kwa Ku confirm

Sasa yeye ameenda udsm(Mfano) Ku confirm kozi aliyochaguliwa ila ndio wanamletea huo ujumbe wa kuwa kozi hiyo aliyochaguliwa watu wamejaa tayari kwahiyo hawez kukubaliwa tena yaani amechelewa
 
Pole sana. Nu bahati mbaya Wanafunzi wengi hawafahamu ambacho wanataka 'fani ya kusomea' chuo kikuu hivyo wengi wanajikuta wanaomba vyuo vingi na kozi tofauti. Aghalabu huwa naomba chuo kimoja na kozi moja machaguo yote, hata juzi nilimuombea mdogo wangu chuo kimoja na kozi moja tu ambayo anataka.
 
Hujampata vizur alichomaanisha,yaani ukishakubaliwa na vyuo tuseme udsm na udom inabidi uchague kimoja kwa Ku confirm

Sasa yeye ameenda udsm(Mfano) Ku confirm kozi aliyochaguliwa ila ndio wanamletea huo ujumbe wa kuwa kozi hiyo aliyochaguliwa watu wamejaa tayari kwahiyo hawez kukubaliwa tena yaani amechelewa

Kwenye hatua ya confirm, hakuna uhakika wa kupata nafasi kama kozi yako ilikuwa imebakiza nafasi chache na wenzako wakakuwahi kujaza !

Kuna baadhi ya kozi kuna nafasi chache sana kati ya 2 hadi 9+ inategemea. Na kwa wale walioomba awali, na baada ya kukosa awamu ya kwanza au walichelewa kuomba awamu ya kwanza watakutana na changamoto ya kozi wanazotaka kujaa au kuwa na nafasi chache.
 
Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya confirmation kwenye chuo na programu wanayoitamani, wanapokea ujumbe “program imejaa”. Hii inakuwa kama kulazimishwa kusoma vyuo na kozi zisizo chaguo la mwanafunzi.

TCU mnakwenda mbali sana kuingilia maamuzi ya wazazi na wanafunzi. Kazi yenu ni kuratibu udahili, siyo kutulazimisha wapi watoto wetu wasome. Mzazi ndiye analipa ada na kugharamia masomo, kwa hiyo mzazi na mwanafunzi ndio wanapaswa kuamua chuo na programu sahihi kwa ajili ya maisha na ndoto zao.
View attachment 3465099

Marehemu Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kusisitiza wazi kwamba kila mwanafunzi apewe uhuru wa kuchagua chuo anachotaka. Kwa hali hii ya sasa, inaonekana mfumo unapingana na maelekezo hayo.

Tunawaomba Waziri husika na mamlaka zote za elimu kuingilia kati. Wanafunzi wetu wasilazimishwe kwenda vyuo au kusoma programu ambazo hawazipendi. Hii sio haki na inaleta mateso kwa familia na vijana.

Tunataka haki ya kuchagua chuo na programu izingatiwe, bila visingizio vya “program imejaa”.
Mpeleke mwanao Harvard. Achana na Wabongo!!!
 
Hatukatai sasa kama nimkubwa ndo atupangie pa kwenda? Mie nimechanguliwa chuo fuali aache niwe na uhuru wa confermation asiingilie uhuru wangu
Kwenda zako huko huo uhuru upeleke Kenya mbona unapiga Kura na bado tunakuwekea kiongoz tunayemtaka?
Eti uhuru? Nyie nyumbu wa 2000's mnashida sana lazima tuwachagulie course za kusoma hamjitambui utoto mwingi otherwise kaa nyumbani hadi mwakani
 
Hujampata vizur alichomaanisha,yaani ukishakubaliwa na vyuo tuseme udsm na udom inabidi uchague kimoja kwa Ku confirm

Sasa yeye ameenda udsm(Mfano) Ku confirm kozi aliyochaguliwa ila ndio wanamletea huo ujumbe wa kuwa kozi hiyo aliyochaguliwa watu wamejaa tayari kwahiyo hawez kukubaliwa tena yaani amechelewa
Asante ndugu kwa ufafanuzi huu ndo ukweli wengine kabisa yani nishida siku hiyo hiyo course imejaa kuna nini hapo so wanataka tusome vyuo au course ambazo hatutaki
 
Kwenda zako huko huo uhuru upeleke Kenya mbona unapiga Kura na bado tunakuwekea kiongoz tunayemtaka?
Eti uhuru? Nyie nyumbu wa 2000's mnashida sana lazima tuwachagulie course za kusoma hamjitambui utoto mwingi otherwise kaa nyumbani hadi mwakani
Sio wote ndugu
 
Kwenye hatua ya confirm, hakuna uhakika wa kupata nafasi kama kozi yako ilikuwa imebakiza nafasi chache na wenzako wakakuwahi.

Kuna baadhi ya kozi kuna chache sana kati ya 2 hadi 9+ inategemea. Na kwa wale walioomba awali, na baada ya kukosa awamu ya kwanza au walichelewa kuomba awamu ya kwanza watakutana na changamoto ya kozi wanazotaka kujaa au kuwa na nafasi chache.
Sasa kwanini isiwe na uhakika? Na confermation nayo inatakiwa iwe vita? Wengine tunatokea vijijin hata mtandao shida sasa wakitaki wamb haya ya haraka sio sawa vyuoni wanasema wao hawana namna mifumo imefungwa na TCU
 
Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya confirmation kwenye chuo na programu wanayoitamani, wanapokea ujumbe “program imejaa”. Hii inakuwa kama kulazimishwa kusoma vyuo na kozi zisizo chaguo la mwanafunzi.

TCU mnakwenda mbali sana kuingilia maamuzi ya wazazi na wanafunzi. Kazi yenu ni kuratibu udahili, siyo kutulazimisha wapi watoto wetu wasome. Mzazi ndiye analipa ada na kugharamia masomo, kwa hiyo mzazi na mwanafunzi ndio wanapaswa kuamua chuo na programu sahihi kwa ajili ya maisha na ndoto zao.
View attachment 3465099

Marehemu Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kusisitiza wazi kwamba kila mwanafunzi apewe uhuru wa kuchagua chuo anachotaka. Kwa hali hii ya sasa, inaonekana mfumo unapingana na maelekezo hayo.

Tunawaomba Waziri husika na mamlaka zote za elimu kuingilia kati. Wanafunzi wetu wasilazimishwe kwenda vyuo au kusoma programu ambazo hawazipendi. Hii sio haki na inaleta mateso kwa familia na vijana.

Tunataka haki ya kuchagua chuo na programu izingatiwe, bila visingizio vya “program imejaa”.
Mdau anachosema ni ukweli. Mimi nina mdogo wangu aliyeomba vyuo viwili na amekubaliwa vyote. Tulipojaribu kuthibitisha programu ambayo tumekubaliana asome, mfumo ukaonyesha program full. Tulipopiga simu chuoni, wakasema uwezo (capacity) umejaa na kwamba suala hilo liko nje ya uwezo wao kwa sababu mfumo umeunganishwa na TCU na wao ndio wanaofunga.

Najiuliza, je, TCU inalazimisha watu wasome programu ambazo hawazitaki? Au kama ni suala la capacity, wamefanya nini kusaidia vyuo kuongeza uwezo huo? Au wamebaki kuwa walinzi wakali tu?

Haya mambo ya capacity tulizoea zaidi kwenye kada za afya, sawa na inaeleweka. Lakini sasa kuingiza mfumo huu hadi kwenye fani za kawaida hakutendi haki. TCU inapaswa kuwawezesha vyuo, siyo kuvizuia kana kwamba wao ni walinzi tu badala ya facilitators.
 
Back
Top Bottom