Mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel (Iron-Dome) hauna mpinzani!!!!!

Mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel (Iron-Dome) hauna mpinzani!!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!!

Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa mkutano wa mikakati.

"Hakuna teknolojia inayofanana na **Iron-Dome**duniani," alisema Steinitz.

Alibainisha kuwa katika kipindi cha vita vya sasa, "maroketi na makombora 40,000 yalirushwa nchini Israeli kutoka Lebanon na Gaza pekee. Iron-Dome ilizuia idadi kubwa ya makombora hayo kwa kiwango cha mafanikio cha karibu 99%.
 

Attachments

  • IMG_20260513_113848_907.jpg
    IMG_20260513_113848_907.jpg
    29.1 KB · Views: 22
  • IMG_20260513_113849_293.jpg
    IMG_20260513_113849_293.jpg
    31 KB · Views: 22
  • IMG_20260513_113849_484.jpg
    IMG_20260513_113849_484.jpg
    46.9 KB · Views: 25
  • IMG_20260513_113849_196.jpg
    IMG_20260513_113849_196.jpg
    48.4 KB · Views: 24
Hata uwe na kipa bora duniani, huwezi kuzuia mipira 100 inayopigwa kila baada ya sekunde 30 au 60.
 
Kwa akili yako ndogo wewe unaona hapo umeuliza Swali? Jifunze namna ya kuuliza swali!!
Jibu swali nililo kuuliza! Na alama ya kuuliza nimekuwekea.
Hiyo mifumo inakusaidia nini wewe Myahudi wa Mbagala Charambe?
 
Jibu swali nililo kuuliza! Na alama ya kuuliza nimekuwekea.
Hiyo mifumo inakusaidia nini wewe Myahudi wa Mbagala Charambe?
Wewe Mwarabu-koko Hiyo habari ya mifumo ya Ulinzi wa anga ya Israel wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako ukiisikia? Maana inaonekana unaumia sana!!!
 
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!!

Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa mkutano wa mikakati.

"Hakuna teknolojia inayofanana na **Iron-Dome**duniani," alisema Steinitz.

Alibainisha kuwa katika kipindi cha vita vya sasa, "maroketi na makombora 40,000 yalirushwa nchini Israeli kutoka Lebanon na Gaza pekee. Iron-Dome ilizuia idadi kubwa ya makombora hayo kwa kiwango cha mafanikio cha karibu 99%.

Uwo mfumo unalinda nchi gani kama ndio huu ulitegwa kulinda Israel !!!
basi wananchi wana haki kukimbilia mashimoni wakafie uko uko chini lkn uku juu hakukaliki
mwenyewe ona apo
ata kiwete mbio zinakuusu🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 1775306757284.png
    1775306757284.png
    534.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 22
Ndugu unaipima iron dome kupitia wanamgambo na vikundi vidogn Unapima huo mtambo zidi ya nchi iliofungwa mikono,miguu na macho iran (nabado ilifanikisha kupenya)
 
Uwo mfumo unalinda nchi gani kama ndio huu ulitegwa kulinda Israel !!!
basi wananchi wana haki kukimbilia mashimoni wakafie uko uko chini lkn uku juu hakukaliki
mwenyewe ona apo
ata kiwete mbio zinakuusu🤣🤣🤣🤣
Hizo picha za AI eti jengo linaharibiwa lakini Bendera ikabaki hii ni ajabu za Mhamedi kufufuka!@
 
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!!

Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa mkutano wa mikakati.

"Hakuna teknolojia inayofanana na **Iron-Dome**duniani," alisema Steinitz.

Alibainisha kuwa katika kipindi cha vita vya sasa, "maroketi na makombora 40,000 yalirushwa nchini Israeli kutoka Lebanon na Gaza pekee. Iron-Dome ilizuia idadi kubwa ya makombora hayo kwa kiwango cha mafanikio cha karibu 99%.
Zumaridi mke wa Netanyahu najua hujui kiengereza, mwambie mumeo akutafsirie halafu ndo uje na pumba zako hapa, wanamgambo wa Hezbollah wameichakaza vibaya hio IRON DOME
 

Attachments

  • Screenshot_20260513_194311_Chrome.jpg
    Screenshot_20260513_194311_Chrome.jpg
    211 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260513_194140_Chrome.jpg
    Screenshot_20260513_194140_Chrome.jpg
    287.9 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260513_194029_Chrome.jpg
    Screenshot_20260513_194029_Chrome.jpg
    95.6 KB · Views: 19
Yes, the Iron Dome is considered an exceptionally good and effective missile defense system for its intended purpose, often boasting a success rate exceeding 90%. Developed by Rafael, it is a combat-proven system designed to protect against short-range rockets, missiles, and drones, acting as a crucial, lifesaving layer in Israel's multi-layered defense.

Why Iron Dome is Highly Regarded:

Proven Reliability:

It has recorded over 10,000 successful interceptions since 2011, providing reliable protection to civilian areas and infrastructure.

High Success Rate:
It consistently blocks over 90% of rockets aimed at populated areas.

Fast Response:
The system operates in seconds, identifying threats and firing interceptors to neutralize them mid-air.

Efficiency:
It only fires at missiles deemed to land in populated or strategic areas, saving costs on incoming rockets that would otherwise land in empty fields.

Key Details and Limitations:
Designed for Short-Range:
It is specifically for short-to-medium range threats (roughly 4km to 70km) like those fired from Gaza or southern Lebanon.

Not Invincible:
Intense, massive, and simultaneous salvos can overwhelm the system, allowing some rockets to penetrate defenses.

Part of a System:
It works alongside other systems (like Arrow for ballistic missiles and David’s Sling) to cover different threats.
 
Hezbollah washaitungua zamani
 

Attachments

  • Screenshot_20260513_194140_Chrome.jpg
    Screenshot_20260513_194140_Chrome.jpg
    287.9 KB · Views: 21
Na hiii
 

Attachments

  • Screenshot_20260513_194311_Chrome.jpg
    Screenshot_20260513_194311_Chrome.jpg
    211 KB · Views: 24
IRON DOME ni mboga tu
 

Attachments

  • Screenshot_20260513_194029_Chrome.jpg
    Screenshot_20260513_194029_Chrome.jpg
    95.6 KB · Views: 18
Back
Top Bottom